Mwanaume mashine

Mwanaume mashine

Afadhali mara million kuliko pesa bila mashine

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu...mm nilidhani kuwa na mashine tu....kunakufanya ujione ushamaliza kila kitu...mm nilimaaanisha kuwa na mashine tu haitoshi kujiamini....unapaswa utafute pesa pia...ila km hilo la pesa au mashine...Duu .mkuu mm nachaguwa MASHINE...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
platnumz-plate.jpg

Shidaaaaaa, kweli kweli.
 
View attachment 560050

nimeangalia hii picha nikacheka kweli kwakuwa yaliyoandikwa juu yake hayafanani kabisa na body language ya wahusika hasa dogo ambaye sura yake inaonekana vizuri... nimejikuta naukumbuka wimbo wa mwanaume mashine

Usafi na utanashati ni sifa muhimu kwa mwanaume, na wanawake wengi huvutiwa na mwanaume wa jinsi hiyo, si lazima kuvaa nguo za gharama LA haha bali nguo za kawaida kabisa lakini ziwe safi na kwenye mpangilio sahihi.... Bila kusahau sekta muhimu sana ulaji tunda.... Mwanaume kamili huwa na kisu kikali kinachojua kukata vema

Shida ya vijana wa kileo ni kwamba wanadhani mvuto utanashati na usafi ni kufanya scrubbing, kusuka nywele, kuvaa hereni, kutinda nyusi, kupaka poda, kujipulizia manukato ya kike, kubana sauti, kuongea singeli na ngeli za kiingereza, kuvaa nguo za kubana, kumiliki smart phones na gari, kula chips mayai na kuku na pizza, huku wakiacha kabisa kula ugali....

Hawa automatically visu vyao hugeuka butu kwakuwa badala ya kunoa makali wao hukazana kurembesha mpini na wanapofika buchani holaaa

Mwisho wa siku wakichapiwa wanaishia kulialia... Kwa jinsi hali ilivyo mbaya hakuna jinsi zaidi ya kuandaa madarasa ya kuwafunda wadogo zetu wa kiume

d696c6ee9baf8713e59fff8c46b7656b.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume wa DSM kwenye ubora wake anakaanga kichwa
 
Kazi mnayo wanaume kwa sasa ngoja na sisi tupumzike kidogo maana mlituandama sana kila kitu mwanamke. Safari hii vibamia havitawaacha salama😀
 
Mshana kuna wengine wana ngiri au chango..ina sababisha mshedede kusinyaa.au kuingia ndani.nadhani umenielewa..huku Tanga matatizo hayo ni nadra sana..
 
Jamani kwa experience yangu. Wanawake ambao hawana shape nzuri kiivo ujue chini patam. Wale wenyew miji shape chini kawaida
 
Back
Top Bottom