Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,394
- Thread starter
-
- #81
Kweli aisee, kutoaminiwa na mwenzako ni tatizo sn. Na ishu kma hyo ikishatokea, usitegemee kuaminiwa tena.Una akili sana ww mwanamke. Tungepata km 100 km ww. Hizi kesi zisingekuwepo.
Hakuna kitu ninachoogopa km kutoaminiwa na mwenzangu. Kupendwa ni tiba tosha, hata km hauna hela utajiona tajiri. Kwa dunia ya sasa ukipata mtu anayekupenda na kukuheshimu. Mshukuru Mungu.
MTOA UZI MISS CHAGA KESHAMALIZIKA KILA KITU SINA CHA KUSHAURI.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sitaondoka ila cha moto atakiona huyo bazazi anaechepuka bila uzazi wa mpango
Nasahihisha majibu tu[emoji38] [emoji38] sichangii coz suala hili ni la akina KE na sio MEMimi nazani unapotosha jamii. Hakuna ganzi wala kuvumilia.
Jibu lipo wazi kabisa hakuna haja ya kuumiza kichwa alimkuta anamtoto je alimuuliza ilikuwaje.
Ni sawa ukamkuta mpenzio anamatatizo ya tumbo.
Hukutaka kujua tatizo.
Sasa akijinyea kitandani yazoe mavi hakuna haja ya kuumiza kichwa
Hta ww unaweza ukachangia kaka, japo wao kma watendewa ndo watajua maumivu kiundani zaidi. Wewe jiweke kwenye nafasi ya huyo mhusika/mtendajiNasahihisha majibu tu[emoji38] [emoji38] sichangii coz suala hili ni la akina KE na sio ME
Habari zenu wakuu,
Naombeni kuuliza, hasa wanawake wanaweza kuwa katika position nzuri sana. Inapotokea mume wako umemkuta na mtoto, ukakubali akakuoa na mkafanikiwa katika ndoa kupata nae mtoto mmoja. Lakini ikatokea huyo mume wako akazaa na binti mwingine tena nje ya ndoa.
1. Utaweza kuendelea na relationship hiyo?
2. Kama utaendelea, je unaweza kuwa na kiwango kile kile cha mapenzi kama mwanzo?
3. Je, unaweza ukatamani kuvunja ndoa ila kwa sababu wewe ni mwanamke ukashindwa? Au utaendelea kwa sababu ya neno "uvumilivu"
Nawasilisha.
Mke anakomaa kama kuna jambo fulani la kumkalisha...Kuendelea inategemea na upendo wako kwake? Na pia je anakudharau? Kama hapana unaweza komaa na ndoa yako as long as unampenda na mnaelewana ila kama hivyo havipo basi we jiondokee aingie ndani huyo mama mtoto .. je dini yako inaruhusu , ndoa za mitala kama ndiyo awe mke mdogo.. mama yangu alikomaa na baba lakini kubwa ili kuwa upendo na mpaka sasa hivi wapo mtoto anasomeshwa aliyezalishwa hana mbele wala nyuma..
Upendo unapungua ila utarudi tuMke anakomaa kama kuna jambo fulani la kumkalisha...
Ila upendo mmmh lazina ipungue...
Nawaza tu
Ingawa wazee wa zamani ni tofauti na sasa
ikitokea hivo kumtambulisha ni muhimu zaidi kuliko kufanya siri na vizuri zaidi ukamueleza wewe kabla hajayaskia kwa watu wa pembeniYaani mtoto wa nje umpate ndani ya ndoa halafu umtambulishe kwa mkeo?
Haiwezekani ng'ombe dume atoke zizini kwako akazae zizi lingine halafu udai ndama wako!
Ni dharau sana kwa mkeo, na familia nzima.
Sawa lakini hawakawii kununa ukitoa ushauri wasioukubali[emoji23]Hta ww unaweza ukachangia kaka, japo wao kma watendewa ndo watajua maumivu kiundani zaidi. Wewe jiweke kwenye nafasi ya huyo mhusika/mtendaji
Mh!sitaondoka ila cha moto atakiona huyo bazazi anaechepuka bila uzazi wa mpango
wee jua tu cha moto atakionaMh!
Utamfanyaje?
Sawa. Ila nyie viumbe huwa nawaogopa sana. Mko vizuri kwa kila sector.wee jua tu cha moto atakiona
Presha lazima. Wakiamua kulifanyia uchunguzi jambo, wanapata data kuliko FBISawa. Ila nyie viumbe huwa nawaogopa sana. Mko vizuri kwa kila sector.
Ukifanya bifu na wife lazima upate presha.
Wakati wa kuanza kuchepuka lazima iwe wazi kwamba hakuna mambo ya kuzaaikitokea hivo kumtambulisha ni muhimu zaidi kuliko kufanya siri na vizuri zaidi ukamueleza wewe kabla hajayaskia kwa watu wa pembeni
nimefurah hapo uliposema taraka fasta badala ya talaka. Nikahis hasira zimefanya button zingine zibonyezweTatizo ndoa zetu hizi za kikristu hazivunjiki hadi kifo. . . Ningevumilia ila upendo na uaminifu kwa mume wangu ungepungua
Ila kama ni uislam taraka fasta
miss chagga una akili sana wewe! mara nyingi point zako zina mashiko!Kuendelea inategemea na upendo wako kwake? Na pia je anakudharau? Kama hapana unaweza komaa na ndoa yako as long as unampenda na mnaelewana ila kama hivyo havipo basi we jiondokee aingie ndani huyo mama mtoto .. je dini yako inaruhusu , ndoa za mitala kama ndiyo awe mke mdogo.. mama yangu alikomaa na baba lakini kubwa ili kuwa upendo na mpaka sasa hivi wapo mtoto anasomeshwa aliyezalishwa hana mbele wala nyuma..
Ha ha ha
Mkuu, kweli Mungu atatusamehe in advance