Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Mpendwa hujui kinga?? Njia za kuzuia mimba zipo kibao. Kila siku unajisahau au? Ushajijua wewe ni gusa uvimbe juu, kwa nini usichukue tahadhari? Mnawapa shida watoto mnaowazaa. Mtoto kulelewa na mama yake mzazi ni tofauti kabisa na kulelewa na mama mwingine.Haya mambo wachie wenyewe. Mm kila msichana nikukutana nae anapata mimba waliozaliwa ni 2 aliepo tumboni 1 sas juzi kati nimesema nioe daahh mtihn mgumu nimuoe nani n nwache nanI
Na wanawake tuache kuwazalia boyfriends. Nyuzi nyingi za namtafuta baba yangu, ni za watoto waliozaliwa nje ya ndoa (kabla hajaoa na za michepuko). Tuwahurumieni watoto wetu