silasc
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 3,347
- 1,987
Sijasema hawaolewi, talaka haitoi roho.Wanaachika na wanaolewa vizuri tu. Na hata wasipoolewa tena sidhani kama ndo itakuwa mwisho wa maisha yao
Sijasema hawaolewi, talaka haitoi roho.Wanaachika na wanaolewa vizuri tu. Na hata wasipoolewa tena sidhani kama ndo itakuwa mwisho wa maisha yao
Basi sawaSijasema hawaolewi, talaka haitoi roho.
Poa poa.Basi sawa
Jibu lako ni zuri, ila lipo ki digitali zaidi. Na enzi ya mama zetu, full analogia. Hizo ishu zilikuw za kawaida sn na ukipunguza upendo ujue wewe ndo mbaya. Sasa hv 50/50 inatutafuna wanaume.Duh, hapo kuna kazi. Kwa mbali naona upungufu wa upendo ktk moyo wangu. Maana naona ishara ya dharau tayari. Anyway mi naacha, naanza maisha yangu upya na wana'ngu.
Ni ngumu kumeza, it's better kama huyo mtoto amezaliwa kabla cjafahamiana na mume wangu.

Mimi ni Me na nilishamkamata redhanded mke wangu jamaa linamfaidi ila bado ninaye. Kabla sijambamba alikuwa akinitesa ila baada ya kumfumania cha moto anakipata ingawa kovu haliwezi kutoka. Una la ziada kuniuliza?
. Are u serious??? Yan umemkamata MUBASHARA na bado upo nae..?? Mimi naadmit that I CAN'T..!! Kweli tena siwezi aisee. Nikisema naweza ntakuwa mnafiki. OvaTofautisha experience na theory. Usiombe yakukute hata mie nikiwa na umri wako nilijiapiza kama unavyonena. Omba yasikupate![]()
![]()
![]()
. Are u serious??? Yan umemkamata MUBASHARA na bado upo nae..?? Mimi naadmit that I CAN'T..!! Kweli tena siwezi aisee. Nikisema naweza ntakuwa mnafiki. Ova
Unajua nina umri gani mkuu??Tofautisha experience na theory. Usiombe yakukute hata mie nikiwa na umri wako nilijiapiza kama unavyonena. Omba yasikupate
Hata ukiwa na miaka 80 kama huna experience na jambo ni kama una miaka 5 tu. Yakitimia ndipo utasimlia kuwa mimi nilifanya hivi. Mfano kama hujafiliwa na mke, huwezi kuwa na experience ya kufiliwa na mke. Kwa mtu ambaye pengine ni mtoto wako wa kumzaa anaweza kuwa amekomaa kuliko wewe kama alishafiliwa na nkewe.Unajua nina umri gani mkuu??
Umefafanua vizuri. Nimekusoma mkuuHata ukiwa na miaka 80 kama huna experience na jambo ni kama una miaka 5 tu. Yakitimia ndipo utasimlia kuwa mimi nilifanya hivi. Mfano kama hujafiliwa na mke, huwezi kuwa na experience ya kufiliwa na mke. Kwa mtu ambaye pengine ni mtoto wako wa kumzaa anaweza kuwa amekomaa kuliko wewe kama alishafiliwa na nkewe.
Mbona hao hao wanawake wanabeba ujauzito wa nje ya ndoa japo mnalala kitanda kimoja;
halafu watoto wenyewe wanakuwa na akili sana;
Nani kakuambia ndoa ya Kikristu haivunjwi?
Inavunjwa kama kawaida.
Be you...Alafu wewe![]()
![]()
![]()
Mkuu ww dhehebu gani?haivunjwi kamwe, huwa inabatilishwa mkuu
Yeah na mm nlisahau kusema kwa RC ambako nasali ndoa inabatilishwa kwamba haikuwahi kuwepo toka mwanzo kutokana na sababu mbalimbali ambazo hazikujulikana toka mwanzo kabla ndoa haijafungwa. So basically hakuna talaka sijui madheheb mengineMkuu ww dhehebu gani?
Unaposema "inabatilishwa" una maana gani?
Nimekuuliza dhehebu kwasababu madhehebu mengi ya Kikristo yana taratibu zake tofauti.
Kwa mujibu wa maelezo yako mkuu ni kwamba kama mke au mume alishawahi kufunga ndoa na mtu mwingine akaficha jambo hili akaja funga ndoa na mwingine na baadaye ikajajulikana ndoa hiyo ndio mnaiita batili na itabatilishwa, kama nipo sahihi.Yeah na mm nlisahau kusema kwa RC ambako nasali ndoa inabatilishwa kwamba haikuwahi kuwepo toka mwanzo kutokana na sababu mbalimbali ambazo hazikujulikana toka mwanzo kabla ndoa haijafungwa. So basically hakuna talaka sijui madheheb mengine
Mamndenyi weweeee! Kwa hiyo ndiyo kusema wanaume wanauvumilivu sababu anajua mke wa fulani anamtoto wangu ila haleti vurugu wala shidaMbona hao hao wanawake wanabeba ujauzito wa nje ya ndoa japo mnalala kitanda kimoja;
halafu watoto wenyewe wanakuwa na akili sana;
Hii ina ukweli sana,kuna Baba mmoja alimpa mimba mdada mtaani 6 months kabla hajamuoa mchumba wake. Ilijulikana lakini akasamehewa,hapa tunapoongea wana nearly 20 years ya ndoa lakini mbaba ana watoto wengine kama 5 nje ya ndoa Na mkwewe kamzalia watoto 4.mkewe wala hajui, so this is the power of tendencyMlamba asali haachi mpaka amalize buyu, huyo mwanaume hatoacha kutoka nje ya ndoa hata ukimsamehe itakuwa vigumu kuridhika na wewe, muda mwingine wanawake tunavumilia matatizo tupu, kuendelea kumng'ang'ania ni kujiandaa kuongeza idadi ya watoto wasio uzao wa tumbo lako
Maelezo yako ya mwanzo ni sahihi kabisa mkuu. Ila sehem ya pili zaidi ya hiyo kuna sababu yingine mfano kama mmoja au wote hawana uwezo 2a kushiriki tendo la ndoa (impotence), kama kuna mmoja alificha hali ya ugonjwa mkubwa mf HIV, Ukichaa nk, ikigundulika mmojawapo sio.mkatoliki na hajafuata taratibu za kuwa mkatoliki (akajificha) na nyinginezoKwa mujibu wa maelezo yako mkuu ni kwamba kama mke au mume alishawahi kufunga ndoa na mtu mwingine akaficha jambo hili akaja funga ndoa na mwingine na baadaye ikajajulikana ndoa hiyo ndio mnaiita batili na itabatilishwa, kama nipo sahihi.
Kwa maana hiyo hakuna kitu kingine chochote kitakachoweza kubatilisha ndoa isipokuwa sababu hiyo hapo juu, kwa mujibu wa dhehebu lako ni sawa?