Mwanaume kuzaa nje ya ndoa

Mwanaume kuzaa nje ya ndoa

Inategemea, km ananijali na kunionesha upendo basi ntaendelea kuwa nae. Ila km tutakuwa tushafika hatua mbaya full dharau wala haniheshimu, basi ntajikata taratibu. Ila km tumejenga wote na tumepata mali wote hapo itabidi either aniache kwenye nyumba au tugawane.
 
Kwanza katika uislam mtoto wa nje ya ndoa hakubaliki mwanamke akiwa na mimba uislam haikubali hiyo ndoa
 
Tatizo ndoa zetu hizi za kikristu hazivunjiki hadi kifo. . . Ningevumilia ila upendo na uaminifu kwa mume wangu ungepungua

Ila kama ni uislam taraka fasta
Nani kakuambia ndoa ya Kikristu haivunjwi?
Inavunjwa kama kawaida.
 
nimefurah hapo uliposema taraka fasta badala ya talaka. Nikahis hasira zimefanya button zingine zibonyezwe
Hahaha
Nashukuru kwa kunirekebisha 'indirectly'
Ni talaka asee
 
Kuna mmoja juzi nilijikuta tu tusi limenitoka bila kutarajia, ni mume wa mtu na anasema yeye LAZIMA azae nje ya ndoa ikiwezekana watoto wawili, sababu ya msingi hata hana. Yaani haya mambo jamani.
Khaa,uyo atakua chizi bilashaka kiukweli hata mimi tusi limenitoka.

Sent from mTalk
 
umemkuta na mtoto wa nje ukapotezea akadunga tena nje akaleta tena mtoto mara amedunga tena nje mtoto yaani ni series ww upo tu unavumilia itakuwa una ganzi ama nini??

Hii hapa inamfaa wifi yangu: alikuta mdogo wangu anae mmoja, kazaa wa 3 nje baada ya ndoa. Eti mimi mungu atanisimsmia. Wanangu watakuja kunifuta machozi. Huyo mdada yaani wifi yangu hakuna mfano wake hapa duniani. Mimi ninadhani hata upumbavu wa ndugu yangu naye anachangai. Angekuwa kakipiga boot nadhani huyo angeacha huo UZINZI wake.
 
Wa
Hii hapa inamfaa wifi yangu: alikuta mdogo wangu anae mmoja, kazaa wa 3 nje baada ya ndoa. Eti mimi mungu atanisimsmia. Wanangu watakuja kunifuta machozi. Huyo mdada yaani wifi yangu hakuna mfano wake hapa duniani. Mimi ninadhani hata upumbavu wa ndugu yangu naye anachangai. Angekuwa kakipiga boot nadhani huyo angeacha huo UZINZI wake.
sio rahisi kuachana wakati mwingine watu huwa wana angalia na hali za maisha uachane na mumeo anaenda kuanzaje life??akaanze tena kupanga foleni nyumbani na ndugu?kwa mambo kama hayo ni kujipa moyo tu.
 
Kuendelea inategemea na upendo wako kwake? Na pia je anakudharau? Kama hapana unaweza komaa na ndoa yako as long as unampenda na mnaelewana ila kama hivyo havipo basi we jiondokee aingie ndani huyo mama mtoto .. je dini yako inaruhusu , ndoa za mitala kama ndiyo awe mke mdogo.. mama yangu alikomaa na baba lakini kubwa ili kuwa upendo na mpaka sasa hivi wapo mtoto anasomeshwa aliyezalishwa hana mbele wala nyuma..
Lakini chamoto anakipata Baba yako
 
Sijui labda chumbani . Aisee wanapendana kwa kweli
Atakuwa anamchunga kweli kweli na pengine akichelewa anamurudi kuwa ameaanza uhuni wake au siyo? Unaweza kudhani mama alimsamehe, si kweli bali alipata kiboko cha kumchapia kila mara. Na baba lazima akubali maana yupo guilty. Hapo ndipo huwa nawaheshimu akinamama
 
Atakuwa anamchunga kweli kweli na pengine akichelewa anamurudi kuwa ameaanza uhuni wake au siyo? Unaweza kudhani mama alimsamehe, si kweli bali alipata kiboko cha kumchapia kila mara. Na baba lazima akubali maana yupo guilty. Hapo ndipo huwa nawaheshimu akinamama
basi mama anafanya vyema kwa kweli sababu haa mi nimejifunza jambo huwa sigombani na mpenzi wangu mbele ya watu hata iweje .. nitamuacha mpaka tuwe wawili ndiyo niliwashe.. ndiyo maana nilipoachana na maex zangu ahakuna aliyeamini sababu wanajua tunapendana sana teh .. natamani hii isibadilike
 
Sasa ukipunguza upendo si ndo matatizo yanazidi..?? Neno uvumilivu linatesa wengi sn.

Uvumilivu huu ndio unafanya watu wafe kwa presha! Jirani yetu hapa tumemzika mkewe hivyohivyo yeye amejenga nyumba mbili halafu ealikua na mgogoro na mkewe akamtambishia mkewe kuwa zile nyumba anaenda kumuandikishawanamke mwenzake! Yule dada presha ikapanda alipofikishwa muhimbili tu akafariki dunia! Inategemea kila inshu mtu anaipokeaje! Sasa hlo ni suala la nyumba je ingekua mtoto wa nje sijui ingekuwaje
 
Back
Top Bottom