Mwanaume kuzaa nje ya ndoa

Mwanaume kuzaa nje ya ndoa

Una akili sana ww mwanamke. Tungepata km 100 km ww. Hizi kesi zisingekuwepo.
Hakuna kitu ninachoogopa km kutoaminiwa na mwenzangu. Kupendwa ni tiba tosha, hata km hauna hela utajiona tajiri. Kwa dunia ya sasa ukipata mtu anayekupenda na kukuheshimu. Mshukuru Mungu.
MTOA UZI MISS CHAGA KESHAMALIZIKA KILA KITU SINA CHA KUSHAURI.
Kweli aisee, kutoaminiwa na mwenzako ni tatizo sn. Na ishu kma hyo ikishatokea, usitegemee kuaminiwa tena.
 
Mimi nazani unapotosha jamii. Hakuna ganzi wala kuvumilia.
Jibu lipo wazi kabisa hakuna haja ya kuumiza kichwa alimkuta anamtoto je alimuuliza ilikuwaje.
Ni sawa ukamkuta mpenzio anamatatizo ya tumbo.
Hukutaka kujua tatizo.
Sasa akijinyea kitandani yazoe mavi hakuna haja ya kuumiza kichwa
Nasahihisha majibu tu sichangii coz suala hili ni la akina KE na sio ME
 
1. Kuendelea inawezekana...kama kuna cha kufanya kukaa.....

2. Mapenzi yatapungua mno kama sio kuisha.......yaani ukichapiwa usilalamike

3. Kutamani kuvunja ndoa kupo eeeh

Habari zenu wakuu,

Naombeni kuuliza, hasa wanawake wanaweza kuwa katika position nzuri sana. Inapotokea mume wako umemkuta na mtoto, ukakubali akakuoa na mkafanikiwa katika ndoa kupata nae mtoto mmoja. Lakini ikatokea huyo mume wako akazaa na binti mwingine tena nje ya ndoa.
1. Utaweza kuendelea na relationship hiyo?
2. Kama utaendelea, je unaweza kuwa na kiwango kile kile cha mapenzi kama mwanzo?
3. Je, unaweza ukatamani kuvunja ndoa ila kwa sababu wewe ni mwanamke ukashindwa? Au utaendelea kwa sababu ya neno "uvumilivu"

Nawasilisha.
 
Kuendelea inategemea na upendo wako kwake? Na pia je anakudharau? Kama hapana unaweza komaa na ndoa yako as long as unampenda na mnaelewana ila kama hivyo havipo basi we jiondokee aingie ndani huyo mama mtoto .. je dini yako inaruhusu , ndoa za mitala kama ndiyo awe mke mdogo.. mama yangu alikomaa na baba lakini kubwa ili kuwa upendo na mpaka sasa hivi wapo mtoto anasomeshwa aliyezalishwa hana mbele wala nyuma..
Mke anakomaa kama kuna jambo fulani la kumkalisha...

Ila upendo mmmh lazina ipungue...

Nawaza tu

Ingawa wazee wa zamani ni tofauti na sasa
 
Yaani mtoto wa nje umpate ndani ya ndoa halafu umtambulishe kwa mkeo?

Haiwezekani ng'ombe dume atoke zizini kwako akazae zizi lingine halafu udai ndama wako!

Ni dharau sana kwa mkeo, na familia nzima.
ikitokea hivo kumtambulisha ni muhimu zaidi kuliko kufanya siri na vizuri zaidi ukamueleza wewe kabla hajayaskia kwa watu wa pembeni
 
ikitokea hivo kumtambulisha ni muhimu zaidi kuliko kufanya siri na vizuri zaidi ukamueleza wewe kabla hajayaskia kwa watu wa pembeni
Wakati wa kuanza kuchepuka lazima iwe wazi kwamba hakuna mambo ya kuzaa
 
Tatizo ndoa zetu hizi za kikristu hazivunjiki hadi kifo. . . Ningevumilia ila upendo na uaminifu kwa mume wangu ungepungua

Ila kama ni uislam taraka fasta
nimefurah hapo uliposema taraka fasta badala ya talaka. Nikahis hasira zimefanya button zingine zibonyezwe
 
Kuendelea inategemea na upendo wako kwake? Na pia je anakudharau? Kama hapana unaweza komaa na ndoa yako as long as unampenda na mnaelewana ila kama hivyo havipo basi we jiondokee aingie ndani huyo mama mtoto .. je dini yako inaruhusu , ndoa za mitala kama ndiyo awe mke mdogo.. mama yangu alikomaa na baba lakini kubwa ili kuwa upendo na mpaka sasa hivi wapo mtoto anasomeshwa aliyezalishwa hana mbele wala nyuma..
miss chagga una akili sana wewe! mara nyingi point zako zina mashiko!
 
Back
Top Bottom