Mwanaume kuzaa nje ya ndoa

Mwanaume kuzaa nje ya ndoa

Ndo ndeshazaa ukiondoka kwani ndo watakufa? unampuuza nakumuwekea baadhi ya vikwazo ulee watoto akizeeka ndo ataisoma namba na huo utitiri nawekeza kwa majina ya watoto wangu.
Haswaaa ila wanaume tufike mahala tukue.
Nini tunatafuta huko nje kama wake zetu wapo ndani?
 
Kwa maswali yako yote jibu HAPANA linatosheleza
 
Mbona hao hao wanawake wanabeba ujauzito wa nje ya ndoa japo mnalala kitanda kimoja;
halafu watoto wenyewe wanakuwa na akili sana;
Daaah! We noma wanakuwa na akili tena kuliko wa ndoa au kwa sababu muda unafanya ulitumia akili sana kumtoroka mme na matokeo yake kilichotungwa kikaambukizwa amagazi?
 
Kipindi cha mama zetu, ishu kma hyo ni simpo sana. They understood the situatio so easily, hasa na kale kamfumo dume na ile notion ya kwamba " wanaume ndo walivyo". Sasa tujaribu kuiwaza kwa kizazi hiki cha sasa.
This time we are guided by 50/50 so whenever you do you have to be answerable to your wife regarding love as long as it concerns.
 
Suala la msingi ni kukomaa tu huku uliangalia future ya watoto wako!wasome vizuri na wawe na maisha mazuri!mama zetu walikomaa si kwamba hawakuumizwa hapana waliangalia mbele!tatizo wanawake wa siku hizi mnadeka sana! Uzungu mwingi!mnapenda kuliko mnavyojependa wenyewe!jifunzeni kwa mama/bibi zenu kabla ya kutoroka nyumba zenu
 
Ndio hapo sasa, hata nguo mpya hushoni umevaa mitumba hadi imekukariri, kumbe kuna mwingine anafanyiwa shoping ya maana, akajionea uduwanzi na watoto akapeleka private schools wote, akamwambia yaani baba jikaze tu kiume wasome.

Wanaume huwafundiaha wanawake roho mbaya alafu wanakuja kulaumu,oooh wanawake pasua kichwa, wakati ukitoka hapo still unakwenda kwa mwanamke tena, si uende kwa mwanaume mwenzio!
Khaa Mungu awasaidie tu wanandoa
 
Hakuna maumivu kama mume kuzaa nje ya ndoa, yaani anakuwa amekudhalilisha sana katika jamii ,you won't be able to walk head high anymore as his wife! So humiliating
 
Niwape kubwa iliyotokea kwa jamaa yetu, jamaa alikuwa kiwembe na hela anayo vizuri. Kutoa matumizi haikuwa shida. Shemeji alikuwa na akili sana, alijua huyu jamaa lazima atazaa nje, akajiandaa kisaikolojia. Baada ya miaka minne ya ndoa, tetesi zikaanza. Shemeji kaweka pamba vizuri. Alishagundua kaolewa na fuska, kaamua kutulia kiutu uzima akiomba dua Mungu amwepushie magonjwa.

Kumbe jamaa tayari ana makinda matatu nje. Mchepuko wa kwanza ukamletea motto, shemeji kampokea motto na kumtunza. Kipindi hicho shemeji ana watoto wawili. Wote kawapeleka shule moja. Kufumba na kufumbua, mtoto wa pili kaletwa, na wa tatu kaletwa.wote kawapeleka shule nzuri. Shemeji kakaa kimya na biashara zake, na hakupiga revenge.

Watoto wote watano wamemaliza shule zao, na wanakaa pamoja, njia ya kwenda kusikojulikana ikafunguka kwa mwenye nyumba. Wale watoto kwa kauli moja wakasema, tunamtambua huyu ndiye mama yetu, hatutaondoka hapa, atakapokuwa huyu mama na sisi ndio kwetu. Mpaka leo, huwezi jua kama wale watoto ni wa mama tofauti. Kimbembe kipo kwa wale wamama waliokuwa wanadhani wanamkomoa, vijana wote kimechanganya na wako na mama yao, mama anakula maisha kama kijana.

Huyu ni moja ya wamama wa zamani, sio sasa.
 
Tatizo ndoa zetu hizi za kikristu hazivunjiki hadi kifo. . . Ningevumilia ila upendo na uaminifu kwa mume wangu ungepungua

Ila kama ni uislam taraka fasta

Mungu anisamehe in advance. Ndoa haitanifunga... mke akizingua siwwzi simamisha maisha, just move on
 
Tatizo ndoa zetu hizi za kikristu hazivunjiki hadi kifo. . . Ningevumilia ila upendo na uaminifu kwa mume wangu ungepungua

Ila kama ni uislam taraka fasta
Wewe haujawa updated, Siku hizi zinavunjika tu labda uwe king'ang'anizi mwenyewe. Mpk papa ameruhusu
 
Habari zenu wakuu,

Naombeni kuuliza, hasa wanawake wanaweza kuwa katika position nzuri sana. Inapotokea mume wako umemkuta na mtoto, ukakubali akakuoa na mkafanikiwa katika ndoa kupata nae mtoto mmoja. Lakini ikatokea huyo mume wako akazaa na binti mwingine tena nje ya ndoa.
1. Utaweza kuendelea na relationship hiyo?
2. Kama utaendelea, je unaweza kuwa na kiwango kile kile cha mapenzi kama mwanzo?
3. Je, unaweza ukatamani kuvunja ndoa ila kwa sababu wewe ni mwanamke ukashindwa? Au utaendelea kwa sababu ya neno "uvumilivu"

Nawasilisha.
MTU anayezaa hovyo au kuzalisha hovyo inamaanisha hata kondomu hatumii, hajijali yeye, huyo mwanamke wa nje wala wewe unayejiaminisha mko salama na mko katika hatari ya kupata maradhi yanayosababishwa na kuenezwa na ngono ikiwemo kansa ya mlango wa kizazi ambayo imeshajulikana inaenezwa kwa ngono... Mengine ataamua muhusika at their own risk. Ila hivyo ni vidonda vitakavyoacha makovu ya muda mrefu, huatasahau kwa sababu watoto Wapo na kwa sehemu ni ishara ya wewe kushushwa thamani kama mke maana there is nothing special analala na watu wengine bila kinga pia. Ni vema MTU akaamua kujiondoa mapema au aamue kuvumilia bila kutarajia huyo bwana atabadilika maana hiki ni chanzo cha maumivu na kila kikitokea kitu kibaya hata kidogo hutonesha kidonda. Ukisamehe na kusahau kiukweli utaweza kama ngumu ondoka mapema kabisa .
Why keep the pig with all disturbances just to get a single sausage that u get to share with every one.
 
Kwa kizazi hiki me kama me sidhani kama nitaelewa japo sitamuacha hasa kama bado yupo vizuri mfukoni.. ila kama anafanya ujinga na pesa hamna namuacha live live hata amini
Una akili sana ww mwanamke. Tungepata km 100 km ww. Hizi kesi zisingekuwepo.
Hakuna kitu ninachoogopa km kutoaminiwa na mwenzangu. Kupendwa ni tiba tosha, hata km hauna hela utajiona tajiri. Kwa dunia ya sasa ukipata mtu anayekupenda na kukuheshimu. Mshukuru Mungu.
MTOA UZI MISS CHAGA KESHAMALIZIKA KILA KITU SINA CHA KUSHAURI.
 
Una akili sana ww mwanamke. Tungepata km 100 km ww. Hizi kesi zisingekuwepo.
Hakuna kitu ninachoogopa km kutoaminiwa na mwenzangu. Kupendwa ni tiba tosha, hata km hauna hela utajiona tajiri. Kwa dunia ya sasa ukipata mtu anayekupenda na kukuheshimu. Mshukuru Mungu.
MTOA UZI MISS CHAGA KESHAMALIZIKA KILA KITU SINA CHA KUSHAURI.
Ndo uwe na hela sasa
 
Ndo uwe na hela sasa
Ndiyo mama yangu. Sasa kama unafanya ujinga na pesa hauna si utakuwa na matope kichwani.
Fanya ujinga na pesa unayo.
Siku zote km mkeo wa ndoa kashindwa kukuvumilia hata hao wa nje hawawezi kukuvumilia.
Na hakuna penzi tamu km la mkeo wa ndoa. Hao michepuko hawawez kufikia cheo cha mkeo.
SIKU UKIPATA MATATIZO UTASOLVE NA MKEO NA SIYO NA MCHEPUKO. MCHEPUKO HUWA HAUNA MUDA.
ILA SS WANAUME BANA. DUH! HALAFU MWISHO WA SIKU UNALALAMIKA HAUNA PESA, KUNA WATU WANAKUWANGIA
 
Kuliko kusubiri aamue yeye kumove on, na anaweza akashindwa pia kwa sababu ni mwanamke, so akaamua kuvumilia huku moyoni hana amani na mapenzi na ww yakaisha, nadhani ni bora as a man ukaamua kumove on ili kumsaidia asiwe na chuki na ww ya maisha na kuepuka kuendelea kumuumiza, japo ataumia sn. Ila naamini atakapokuja kuelewa maybe atakuona upo strong enough to let her go kwa manufaa yke ili asiumie zaid. Wanasemaga DON'T CRY BECAUSE IT'S OVER, SMILE BECAUSE IT HAPPENED.
 
Mwanamke mwenye akili hufanya mbinu hii.. Nimeona watoto kama wanne wa style hii ambao wamekua msaada mkubwa Sana kwa family za kufikia...
 
Ukiondoka hapo utaenda kukutana na mwanaume aliyeshushwa mbinguni? Kaa angalia ulikosea wapi au ni tamaa zake tu, kisha tulia kama hakuna kitu kilichotokea jipange kwa ajili ya watoto wako kama ni nyumba waandikishwe kabisa mapema shuku kama ni shule hakikisha wanasoma vizuri, wewe jizatiti kiuchumi usimuombe kila kitu
 
Back
Top Bottom