Mwanaume kuzaa nje ya ndoa

Mwanaume kuzaa nje ya ndoa

Yaani mtoto wa nje umpate ndani ya ndoa halafu umtambulishe kwa mkeo?

Haiwezekani ng'ombe dume atoke zizini kwako akazae zizi lingine halafu udai ndama wako!

Ni dharau sana kwa mkeo, na familia nzima.
Ni kweli lakini huwa inatokea mkuu ndiyo maana ni vyema huko nje mkatumia kinga
 
Hajaoa, ila amemzalisha mtu nje ya ndoa

Atajua mwenyewe mimi mambo yake hayanihusu wakiumwa ajue anawatibuje, na matumizi ya familia sita hangia chochote watoto wakitaka hata chupi ni kwa baba yao, hata akilala nje simuulizi na assume mwanae alikuwa anaumwa na maisha ya endelee vizuri tu. Ndo mambo ya shida na raha hayo na michepuko ni miongoni mwa shida! kuwafuatilia wamaume ndo utaumia mwache uhuru azae hadi mbegu ziishe, siku akifa wamgawe vipande vipande kama urithi.
 
Duuuh...!!
 
Nimeona baadhi ya wanawake waliovumilia huo upuuzi na familia zinasonga mbele tena kwa amani tu.
 
He he he ahsante madam
Kuna mmoja juzi nilijikuta tu tusi limenitoka bila kutarajia, ni mume wa mtu na anasema yeye LAZIMA azae nje ya ndoa ikiwezekana watoto wawili, sababu ya msingi hata hana. Yaani haya mambo jamani.
 
Yani kuna watu sijui ni wana mapepo au wenyewe ndo mapepo. (Nimesonyaa)
 
Atajua mwenyewe mimi mambo yake hayanihusu wakiumwa ajue anawatibuje, na matumizi ya familia sita hangia chochote watoto wakitaka hata chupi ni kwa baba yao, hata akilala nje simuulizi na assume mwanae alikuwa anaumwa na maisha ya endelee vizuri tu. Ndo mambo ya shida na raha hayo na michepuko ni miongoni mwa shida! kuwafuatilia wamaume ndo utaumia mwache uhuru azae hadi mbegu ziishe, siku akifa wamgawe vipande vipande kama urithi.
Kuna mama alikuwa anajibana haswa kuhangaika na familia, akaja kugundua mumewe anachepuka na anajenga huko.
Akaamua hajigusi hata kwa chumvi, yaani watoto wakisema mama chumvi imeisha jibu ni 'mwambie baba'. Alihakikisha pesa ya baba inatumika ndani ipasavyo na hakuna mradi uliosimama. Mbona nyumba ya mchepuko iliishia kwenye msingi.
 
Yani kuna watu sijui ni wana mapepo au wenyewe ndo mapepo. (Nimesonyaa)
Anaongezea 'mke wangu anasemaga nikizaa nje ya ndoa anaondoka, najisema kimoyo moyo hivi unadhani unanitisha'.

Yaani mtu kadhamiria kabisaa na haoni taabu.
 
Kuna mama alikuwa anajibana haswa kuhangaika na familia, akaja kugundua mumewe anachepuka na anajenga huko.
Akaamua hajigusi hata kwa chumvi, yaani watoto wakisema mama chumvi imeisha jibu ni 'mwambie baba'. Alihakikisha pesa ya baba inatumika ndani ipasavyo na hakuna mradi uliosimama. Mbona nyumba ya mchepuko iliishia kwenye msingi.
Wise woman. Unajikaza kushindia dagaa, mwenzio anatupa kuku aliyelala eeeh
 
Anaongezea 'mke wangu anasemaga nikizaa nje ya ndoa anaondoka, najisema kimoyo moyo hivi unadhani unanitisha'.

Yaani mtu kadhamiria kabisaa na haoni taabu.
Khaaa Mungu atuepushe. Kuna wanaume ukimsikiliza tu mawazo yake, mnaachana siku hiyo hiyo
 
Ni kweli lakini huwa inatokea mkuu ndiyo maana ni vyema huko nje mkatumia kinga
Una haja gani ya kwenda nje wakati ndani una mkeo yaani nyie wanaume ni watu wa ajabu san mnashangaza kwa kweli kwani hamuwezi kuwa na sehemu moja nyie mpaka mtafute ziada mwanaume mpenda nje huwa ananikera sana mbon sisi tunaweza kukaa na suruali moja maishani kwa nini nyie kila siku nyie badilikeni
 
Wise woman. Unajikaza kushindia dagaa, mwenzio anatupa kuku aliyelala eeeh
Ndio hapo sasa, hata nguo mpya hushoni umevaa mitumba hadi imekukariri, kumbe kuna mwingine anafanyiwa shoping ya maana, akajionea uduwanzi na watoto akapeleka private schools wote, akamwambia yaani baba jikaze tu kiume wasome.

Wanaume huwafundiaha wanawake roho mbaya alafu wanakuja kulaumu,oooh wanawake pasua kichwa, wakati ukitoka hapo still unakwenda kwa mwanamke tena, si uende kwa mwanaume mwenzio!
 
Nimeona baadhi ya wanawake waliovumilia huo upuuzi na familia zinasonga mbele tena kwa amani tu.

Ndo ndeshazaa ukiondoka kwani ndo watakufa? unampuuza nakumuwekea baadhi ya vikwazo ulee watoto akizeeka ndo ataisoma namba na huo utitiri nawekeza kwa majina ya watoto wangu.
 
Back
Top Bottom