Mwanaume kuzaa nje ya ndoa

Mwanaume kuzaa nje ya ndoa

Maelezo yako ya mwanzo ni sahihi kabisa mkuu. Ila sehem ya pili zaidi ya hiyo kuna sababu yingine mfano kama mmoja au wote hawana uwezo 2a kushiriki tendo la ndoa (impotence), kama kuna mmoja alificha hali ya ugonjwa mkubwa mf HIV, Ukichaa nk, ikigundulika mmojawapo sio.mkatoliki na hajafuata taratibu za kuwa mkatoliki (akajificha) na nyinginezo
 
Nimekusoma vizuri kabisa mkuu, labda ningeomba unifafanulie kitu kimoja ambacho kinanitiza sana!
Kwamba nyie wakatoliki hamuwezi kuachana kwasababu ya uzinzi, kwamba ukimfumania mume/mke haitoshi kuvunja ndoa, kuna ukweli wowote katika hili mkuu!?
 
Yes ni kweli kabisa. Kumbuka annulment ni ile kutangaza kwamba ndoa hii haikuwa kuwepo toka mwanzo (null and void ab initio) kwa sabab kadhaa nilizozitaja. so kufumania haiwezi kubatilisha ndoa hata kidogo itaendelea kuwepo, na hairuhusiwi mmojawapo kuolewa hata kama watapewa talaka na mahakama ya kiraia.
 
Ckuzote upendo ushuka na kupanda hat bila matukio

Kuvunja ndoa mafikir kiwepec ndoa yenyew mnaitafuta hadi kwa wataalamu
 
Yes ni kweli kabisa. Kumbuka annulment ni ile kutangaza kwamba ndoa hii haikuwa kuwepo toka mwanzo (null and void ab initio) kwa sabab kadhaa nilizozitaja. so kufumania haiwezi kubatilisha ndoa hata kidogo itaendelea kuwepo, na hairuhusiwi mmojawapo kuolewa hata kama watapewa talaka na mahakama ya kiraia.
Yes ni kweli kabisa. Kumbuka annulment ni ile kutangaza kwamba ndoa hii haikuwa kuwepo toka mwanzo (null and void ab initio) kwa sabab kadhaa nilizozitaja. so kufumania haiwezi kubatilisha ndoa hata kidogo itaendelea kuwepo, na hairuhusiwi mmojawapo kuolewa hata kama watapewa talaka na mahakama ya kiraia.
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi wako mujarabu kabisa, sasa kwa kiasi fulani nimeelewa kuhusu ukatoliki.
 
Pamoja na kinga ila kwanza haitakiwi mkeo afahamu unachepuka

Sasa wengine huchukua Simu za wanaume wao na kuanza kupekua mawasiliano.

Wengine kama Mwanaume anaishi eneo lingine mkoani Mwanamke hutumia bodaboda kuchunguza anaishi wapi na mwanamke gani.
 
Back
Top Bottom