Hii yaitwa facilitation...:A S 41:Wewe una rafiki yako wa damu damu hajaoa sasa kila akikutembelea ofisini kwako anaona kabinti pale alafu jamaa amekazimia kweli kweli anataka kufika bei na kuweka ndani kawe kashemeji kako, sasa gia ya kuingia pale anashindwa anakuomba wewe kama rafiki yake umtengenezee njia ya kukutana na huyo binti sasa wewe hapo utakuwa umefanya kosa kumsababishia jamaa ako apate mchumba?
Really CAMARADERIE?Ila wanawake(isipokuwa mabaamedi) hawauwezi ukuwadi kama wanaume na msiniulize kwa nini.
Heehehee nimekunywa na maji kabisa....bht, pumua taratiibu, vuta pumzi, naona umekasirika kweli.
Jamani Kongosho badala ya kuni defend siwezi kua kuwadi wadai utanivua baibui? Jamani.......
Na hiyo ndo dawa ya kuwadi...lol!kumuumbua tu Live bila chenga!.....asalaale....usimtaje "mshenga" hadharani weye, unavunja miiko bana....lol...
Mwj1 mnh, .....huko kwao kafunzwa kumfanya mume ni "Baba mfalme wa nyumba!" ...atayejipendekeza kukuwadia ajue nitatajiwa "mshenga" "mtarajiwa" na waalikwa..
Really CAMARADERIE?
Hii yaitwa facilitation...:A S 41:
Heehehee nimekunywa na maji kabisa....
Kongosho ukisema wote watatu wana makosa mie naweza kukubali na kukataa maana inategemea....
Mfano wewe una mdogo wa kike, halafu unakomaa kumshawishi mtakatifu wa aiku za mwisho kuwa umuunganishe na hapo dogo hata habari hana...wewe interst zako kwa TF tu ndo zimekusukuma, hapo dogo naye ana makosa gani?
Hivi kumbe hata sijaoa bado?
Dah, nimefikiri unamkuwadia gelofriend wangu moyo ukauma kweli
Sio gelofriend, boyifriend wangu kumbe.
Najua wewe huwez kabisa kukuwadi lol
Smile vipi unamuongeleaje King'astihttps://www.jamiiforums.com/members/king-asti.html kama vipi niunganishe
Kongosho,
Nakubaliana na wewe...Hao wote ni wapuuzi!
Ila kama kuna material motivations, hilo ni suala jingine; kwa sababu huo utakuwa ni udalali na biashara kama biashara nyingine!!
Babu DC!!
Ewaaaaaa hapa umenena....Unajua hapa inategemea na mtizamo wa mtu.
Mie hata iweje, kutafutiwa mwenza au kutafutia ndugu yangu mwenza
Siamini katika hilo, nahisi najua nachotaka, na ninataka nikitafute mwenyewe, nikijaribu na nijiridhishe
Ili kikinishinda, iwe juu yangu.
Watu wasichanganye kuunganisha dots na ukuwadi,
Mfano, mie nafanya kazi na dada unayempenda (siyo mke au GF wa mtu). Halafu unaniomba nikukutanishe naye bila yeye kujua.
Naweza kutoa msaada huo ila siwezi kwenda zaidi ya hapo!
Sina hakika kama huo ni ukuwadi!
Babu DC!!
Watu wasichanganye kuunganisha dots na ukuwadi,
Mfano, mie nafanya kazi na dada unayempenda (siyo mke au GF wa mtu). Halafu unaniomba nikukutanishe naye bila yeye kujua.
Naweza kutoa msaada huo ila siwezi kwenda zaidi ya hapo!
Sina hakika kama huo ni ukuwadi!
Babu DC!!
Ewaaaaaa hapa umenena....
Hivi Kongosho jaribu kupata hii taswira nyengine...lol
Wewe na Bossman mlivodondokeana, halafu kuwadi anakuja anaanza kukwambia aah usimshobokee bossman bana mbona kuna moskwito mnyonya damu bana yuko poa mi namfahamu kitambu na yeye anataka mchuchu...
wakati huohuo anafanya maongezi na Bossman na kukuponda ile mbaya na kumwambia Bossman ntakuunganisha na Mdada ninamfahamu vizuri....
Hivi huo ni ukuwadi au ni zaidi ya ukuwadi?
....hahaha.....mjomba, hiyo 'ajira' ya kuunganisha kwa tafsiri yangu ndio ukuwadi wenyewe bana, (ashakum si matusi!)...
Sie tunaremba na majina mazuri tu, kama mkate na siagi ili kuficha 'dhana'...