Mwanaume..."KUWADI"

Mbu, mambo?!
Nakuwekea mto kwenye gari baba wala usipate presha eh Laaziz.

The Finest bana...umekaa naloooooooooo leo ndo umeamua kulishusha!
I was just guessing,kumbe ni kweli yalimkuta? Poor TF,nikimjua mkuwadia na mkuwadiwa wa bibi wa TF hakika nitawamwagia tindikali.MJ1 mwaga full datas hapa nizifanyie kazi.
 
Umejuaje?

Heheheee kaka mbona una kiroho dunda namna hiyo?

Hapa JF watu huwa wanatumiana PMs, wakishawasiliana kwa PMs wanahamia fesbuk, yahoo mesenja, skaipu, whatsapp, gmail, simu, na kadhalika. Wakishazivuka hatua hizo wanakutana ana kwa ana sasa.
 
Hahahaha mkuu hiyo biashara naiogopa sana,bishanga sera yangu ni kuishia kwenye key board,wasanii kibao humu mpaka kwenye skype feki unadhani dem kumbe anatembea na smith & wetson/beretta na kikopo cha vaseline!
 
Teh teh teh....gotta be careful humu. Too many backstabbers...
 
Mbona naskia weye una mshipa wa shingo?

Eti hufai hata kurumnagia na kachumbari

Mmmmhhh,mpe pole Lizzy jamani,mwambie in case of imegense nipo karibu maana kwa sasa naishi maeneo ya arumeru mashariki.
 
Last edited by a moderator:
Hivi tunapokutana kila siku wewe huwa ni recorded?

Ndo maana ngozi yako huwa kama ya Eddy kwenye Big Mom, lile li chibonge.

Hahahaha mkuu hiyo biashara naiogopa sana,bishanga sera yangu ni kuishia kwenye key board,wasanii kibao humu mpaka kwenye skype feki unadhani dem kumbe anatembea na smith & wetson/beretta na kikopo cha vaseline!
 
alikuwa kafulia sana, mie ndio nimemtafutia kazi.

Fomu foo alipata Foo ya 37.

Dah, maigizo huchekesha kwa kweli.

Umepatia kweli kweli. Na kabla ya kuhamia TMK alikuwa akiminya pande za Mabwepande kwa Fundi Viatu.
 
Heheheee kaka mbona una kiroho dunda namna hiyo?

Hapa JF watu huwa wanatumiana PMs, wakishawasiliana kwa PMs wanahamia fesbuk, yahoo mesenja, skaipu, whatsapp, gmail, simu, na kadhalika. Wakishazivuka hatua hizo wanakutana ana kwa ana sasa.
Du kumbe game ndo linavyochezwa humu ndani ya JF...I learned s'thing new today!.
 
alikuwa kafulia sana, mie ndio nimemtafutia kazi.

Fomu foo alipata Foo ya 37.

Dah, maigizo huchekesha kwa kweli.
Mzembe gani uyo? unajua sayansi imesibitisha kwamba hata vilaza pia husababisha global warming.
 
Hahahaha!! Bwa'Nchuchu

Unacheka unadhani mazuri?!
Reception ikivurugwa ntakosa wageni ujue!!

BTT
Mbona mmemzonga sana kuwadi wakati yeye ni kama mailman tu?!Chakukasirikia ni ujumbe na aliyeutuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…