Mwanaume..."KUWADI"

Kumtuma mwanaume mwenzangu amtonge mwanamke on my behalf...mmmh mbona haijakaa sawa. Kipi alichonacho ambacho mi sina?
 
Leo wamekugusa mtima! Sasa hichi kinyongo si kitakuletea kiungulia mamii! Basi tuwapeleke kwa Salama Jabir

Ha ha ha ha, acid alotengenezwa kwa hicho kungulia yaweza sambazwa kwenye maabara za shule za kata.


....nilitaka kukuuliza nani alikukuwadia kwake, lakini hiyo conc.sulphuric acid noma!....

:shut-mouth: Better:shut-mouth::shut-mouth:

Yale ya mama yake Lulu kudaiwa kusema ati lulu ndo alikuwa bread winner kwao! Mama mzima anafaa kuwa nyumba ndogo ya mtu kama sio kuuza maandazi kibarazani anategemea mwanae! Wazazi wengine ni wa kucharaza viboko kabisaa!

Ukishangaa ya Musa . . .
 
Leo wamekugusa mtima! Sasa hichi kinyongo si kitakuletea kiungulia mamii! Basi tuwapeleke kwa Salama Jabir
Hana hadhi hata ya kusutwa live kwenye show ta Gatsby Salon sembuuse CNN na Larry King?
 
bht atakuwa ameelewa hapa nadhani...lol...
 
Last edited by a moderator:
Lakini unajua kuwa kwa wengine ni kula hasara hiyo tindikali yako tu? Maana hata akuwadiwe na dunia nzima, hawashi wala hazimi :rolleyez:

hahahaaa hapo sasa....
tindikali ntawamwagia kuwakomoa tu na si vinginevyo....:A S 41:
 
Khaa alokwambieni kuwadi shurti awe mwanamme kawapotezaaaaaa. Ukuwadi hauna jinsia

Upo?

Na ukitaka tindikali sema nna kiwanda [kuwadi kazini....Bwa!ha!ha!ha!]

Kwa hiyo ukuwadi sio ajira mbaya kabisa
 
By the way Gaijin ukimwona Lizzy mwambie bepari bishanga anakusalimia na usisahau kumjulisha niko njiani naelekea maldives for a short vekesheni.

Ntake radhi bwa'mkubwa........sifanyi ukuwadi kirahisi rahisi namna hiyo
 
Mbu, chagulaga hakuna middle man
Mhusika anakubeba begani yeye mwenyewe bila kwa kukuchagua na kuridhika na wewe
Ila wewe mwanamke ndio hupewi muda wa kusema Yes/No

Akishakubeba, ndo umeshakuwa mkewe.

 
Last edited by a moderator:
....naam, 'anakula kwa urefu wa kamba yake'...heheh....
Mkuu wengi hawajui kwamba kuwadi ni sawa na dalali.................kwa hapa jijini Dar, kuna wale madalali wanaotafutia watu nyumba..........akiona nyumba inang'aa na inapendeza anaitafutia mpangaji fasta na kuchkua cha juu kwa mpangaji na kwa mwenye nyumba.............huyu anaendesha familia kwa kazi hiyo...............Je ana tofauti gani na KUWADI...........
KUWADI akiona mrembo na kama anakujua wewe ni Kamchape anakushawishi na kukuunganishia ili apate cha juu.................
 
Mbu, chagulaga hakuna middle man
Mhusika anakubeba begani yeye mwenyewe bila kwa kukuchagua na kuridhika na wewe
Ila wewe mwanamke ndio hupewi muda wa kusema Yes/No

Akishakubeba, ndo umeshakuwa mkewe.

Sasa je... Mbu umegeuka mbung'o hahahaaa
 
Last edited by a moderator:
Ntake radhi bwa'mkubwa........sifanyi ukuwadi kirahisi rahisi namna hiyo
Lol.. Gaijin itabidi uni-introduce kwa yule shoga yako anayesema ukuwadi wala sio ishu kwake
 
Last edited by a moderator:
Kumtuma mwanaume mwenzangu amtonge mwanamke on my behalf...mmmh mbona haijakaa sawa. Kipi alichonacho ambacho mi sina?
Ndahani mimi ndo maana naona ni insult
sasa heri huyo umemtuma, mwingine hata hujamtuma anajitia kimbele front tu...:A S angry:
 
Last edited by a moderator:
Kwani moskwito, zile za mswati na chagulaga nani anamkuwadia nani? Mi nilikoma mtu nilimfanyia shosti wangu blind date jamaa akanigeuka ati anataka open eyes date na mie! Wallah kila anaetaka balaa lake akalisake mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…