The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
RR haujawahi kukutana na "Kuwadi" wewe?Mimi hapana elewa The Finest
Hahahaha!! Hamna banaa nasubiria mchango wako BishangaTantallaaaa....tantalala........hahahaha mtoto acha kupiga mayowe acha watu waone wenyewe......jamani eh TF na maujanja yake kanyang'anywa kipusa chake....kwi kwi kwi....twambie bana kuwadi gani kakutenda ili tumchape!
Tantallaaaa....tantalala........hahahaha mtoto acha kupiga mayowe acha watu waone wenyewe......jamani eh TF na maujanja yake kanyang'anywa kipusa chake....kwi kwi kwi....twambie bana kuwadi gani kakutenda ili tumchape!
mbaya zaidi jamaa anakukuwadia mjamaa mwenzake..
ukimkataa anakutongoza uwe wake mwenyewe.....
wanaume wasio na vision bwana....
ni walewale siku hana pesa anamwambia mkewe fanya mpango watoto wale...
magumegume
wanaume suruali...
nimekumiss kweli mzee mwenzangu....hahaha, TF vipi bana....
Alaumiwe huyo mw'mke 'bendera'
Fata upepo.
Huyo mw'ume ni "mshenga" tu.
.....hahahaha....."kimewaka?"....
TF ukubwa jaa, take it easy banaa...
Tafuta mnyonge wako nawe uchinje kimya kimya...
Kuwadi ni WAKALA au middleman.
Hana kosa.
Sidhani kuwa mwanamke wa msimamo atapagawa kwa kusikiza saundi za kuwadi, kama hakuwa na mbegu ya penzi kwa mwanaume anayemtaka!
Smile vipi unamuongeleaje King'astihttps://www.jamiiforums.com/members/king-asti.html kama vipi niunganishenimekumiss kweli mzee mwenzangu
kuna bibi hapa anakupenda kweli,ni mzuri .....
Kuna wanaume bila aibu huwa makuwadi na kukuwadia wapenzi wa rafiki zao/ndugu yake bila aibu wala hiana. Ni tofauti pale ambapo huyo mwanamke umemtamani mwenyewe na kujaribu bahati yako kwa njia ya usaliti kuliko ukuwadi. Kuna wengine ni makuwadi na hata hawajijui kuwa ni makuwadi kutokana na ukweli kwamba wameshazoea tabia hizo hadi wanaona ni kawaida kwa hilo jambo wanalofanya.
Mara nyingi hawa ni watu ambao hupewa au ununuliwa kwa vitu vidogo kama offer za bia na vihela vya hapa na pale hawa wanaume wa hivi hawana sifa alizotoa Asprin za kuwa Mwanaume Kamili.
Hata hivyo mwanaume anapomkuwadia mpenzi wa jamaa na hatimaye akafanikiwa kumuweka katika mstari na kutembea nae hapo kwa jamaa, nani alaumiwe zaidi? Yule kuwadi ambae wewe waona ni mtu wako wa karibu ila kakuzunguka ama yule mwanamke wako ambae anakubali kirahisi kabisa kuhamisha penzi hapo na kushawishika mara nyingi kutokana na pesa na kwenda kwa mwanaume huyo mpya?