MWANAUME KUWA NA RAFIKI WA KIKE

MWANAUME KUWA NA RAFIKI WA KIKE

Mkuu kwenye hali ya kawaida hakuna urafiki kati ya dume na jike na wanasema kushoto kuna mwanamke kulia kuna mwanaume katikati kuna shetani kiufupi tu kuwa urafiki wa kawaida ni ngumu sana na mwisho wake lazima mtadondokea kwenye mahusiano ya mapenzi
Okay shukurani mkuu

Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app
 
Duh nimeona mfano mmoja hapa mtu kasema nikija kumla baadae atanilaumu kuwa nimechelewa, Sasa huu ni wa pili hii imekaaje? inamaana mindset yao ni kuwa utakuja kumla? Au

Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app
Mimi nilichelewa sana coz tangu 2012 mpaka leo ni almost 7yrs na wala sikuwahi kuhisi kumtamani kingono ..

Kumbe yeye likuwa anatamani niombe show unajua baadhi ya wanawake ukiwasaidia na kuwa care vizuri wanahisi return nzuri ya kuonesha appreciation ni kukupa papuchi tu. Wakakti mimi nilipokuwa namsaidia na kuishi naye nilimchukulia kama dada yangu tu hivyo aliokuwa akilalamika ugumuwa jambo fulani ilikuwa inanigusa sana kwenye moyo. Hivyo nilikuwa nafanya yote hayo kwa nia ya kumsaidia kama dada na bff...
 
Huwezi kumpa nyani alinde shamba la ndizi siku zikiiva lazima azitafune…….bado hajaiva
 
Habari wana jamii wenzangu
Wenye upendo na utani unaotufanya
Tufurahi na kuelimika tukiingia katika mjumuiko huu wa majukwaa yetu.

Husikeni na kichwa cha habari hapo juu,
Mimi kijana wala sio mzee so bado najifundisha mambo mengi ya kwenye jamii zetu.
Najua humu tuna watu wazima waliopitia mengi kabla yetu sisi kizazi cha Mh. Mwinyi tulozaliwa na kukuta ile ruksa nadhani mnatutambua vizuri.
Binafsi ninae rafiki yangu wakike ambae huwa tunajadili mambo mbalimbali yakijamii
Kiutamaduni, maendeleo na elimu mbalimbali.
Tulisoma wote shule ya msingi ijapokua hapo hatukua marafiki kivile, na ilimu ya sekondari tulisoma shule tofauti.
Tumekutana tu tena tu ukubwani na kwasasa ana mchumba na mimi nina katoto kangu kazuri ka Iringa huko.

NB: nimeeka bayana isije wanamazengo wakasema tunatafunana.

Huo ulikua ni mfano tu na urafiki ni mkubwa kiasi tunashare karibia mambo mengi hata akipata tatizo au nikipata tunashauriana.

Nia ni kutaka kusikia machache kutoka kwenu kwamba ushkaji wa mwanamke na mwanaume huwa mnautazama katika mtazamo gani na huwa una tija zipi na hasara zipi hii nafikiri itajenga ufaham fulani baina yetu vijana natumaini majibu yatakua ya busara na maono ya kiutu uzima.

Pia tukieza fahamu haya yote nafikiri tutajenga jamii nzuri yenye mitazamo chanya kuhusu masuala kama haya.

Karibuni mtupe darasa pia vijana tupeane maarifa katika hili.

Ahsanteni.

Siwezi kuwa na rafiki wa kike alafu nisimtusue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom