MWANAUME KUWA NA RAFIKI WA KIKE

MWANAUME KUWA NA RAFIKI WA KIKE

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚amwambie apige mswaki kwanza tena vizuri kabla hajamshushia nusu kikombe kunako ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ

Hahah mkuu acha uchokozi, unataka apate fangasi wakati alishakataa.. ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Habari wana jamii wenzangu
Wenye upendo na utani unaotufanya
Tufurahi na kuelimika tukiingia katika mjumuiko huu wa majukwaa yetu.

Husikeni na kichwa cha habari hapo juu,
Mimi kijana wala sio mzee so bado najifundisha mambo mengi ya kwenye jamii zetu.
Najua humu tuna watu wazima waliopitia mengi kabla yetu sisi kizazi cha Mh. Mwinyi tulozaliwa na kukuta ile ruksa nadhani mnatutambua vizuri.
Binafsi ninae rafiki yangu wakike ambae huwa tunajadili mambo mbalimbali yakijamii
Kiutamaduni, maendeleo na elimu mbalimbali.
Tulisoma wote shule ya msingi ijapokua hapo hatukua marafiki kivile, na ilimu ya sekondari tulisoma shule tofauti.
Tumekutana tu tena tu ukubwani na kwasasa ana mchumba na mimi nina katoto kangu kazuri ka Iringa huko.

NB: nimeeka bayana isije wanamazengo wakasema tunatafunana.

Huo ulikua ni mfano tu na urafiki ni mkubwa kiasi tunashare karibia mambo mengi hata akipata tatizo au nikipata tunashauriana.

Nia ni kutaka kusikia machache kutoka kwenu kwamba ushkaji wa mwanamke na mwanaume huwa mnautazama katika mtazamo gani na huwa una tija zipi na hasara zipi hii nafikiri itajenga ufaham fulani baina yetu vijana natumaini majibu yatakua ya busara na maono ya kiutu uzima.

Pia tukieza fahamu haya yote nafikiri tutajenga jamii nzuri yenye mitazamo chanya kuhusu masuala kama haya.

Karibuni mtupe darasa pia vijana tupeane maarifa katika hili.

Ahsanteni.
Hakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanaume.....mwishowe mtatafunana.
Staki kuingia deep ilo huo ndo ukweli
 
Hauna tatizo kabsaaa faida yake mihemko ikipanda mkiwa wote mnasaidiana tu ndo raha yake
 
Okay kwahiyo wewe huwezi kuwa na ushkaji na jinsia tofauti? Na labda uzoefu wako ni upi katika hili?
Kaka hii siyo ya kushuri inatokea auto.....atakuzoea wew kuliko mtu wake, kunawakati mtaanza kutajana majina kwa wapenziwenu....utaleta siku mrejesho humu ndani
 
Nadhan ataelewa
Mwaka 2012 nilikuwa na rafiki wa aina hiyo , she was so beautiful mpaka washikaji walidhani ni mpenzi wangu.

Unfortunately kumbe hata yeye ndio alivyokuwa anajitangazia kwa watu kuwa Mimi ni mpenzi wake. Kuna rafiki mmoja kwa sababu ya chuki zake alisemaga atanimegea kila demu wangu kwa sababu nilimmegea Dada zake wawili na ma-house wao watatu hivyo alifanikiwa kumgegeda yule manzi.

Mimi nilikuwa sijui as nilikuwa namchukulia kama friend tu. Aliniomba laki 5 ili afanye biashara ya kuuza mitumba nilimpa bila hiyana.

Baada ya miaka kupita juzi ndio najua kuwa yule msela alimega pia bahati nzuri manzi alishaolewa akaja kunifungukia kuwa nilikuwa namuumiza sana roho kwani yeye alikuwa ana kasoro gani na wanawake wengine kwa kipindi kile mpaka nilikuwa namkaushia.

Ila sasa hivi ndio naenda kumgegeda kweli maana tulishapanga appointment Juma mosi ya mwisho wa wiki hii.
 
Mbona mimi ninao tena wawili mmaasai na mpare,,Mmaasai yupo Chuo Moshi na mpare juzi kaenda Iringa Form5 waga tunashauriana vitu vingi sana vya maisha,Elimu nk.
 
Habari wana jamii wenzangu
Wenye upendo na utani unaotufanya
Tufurahi na kuelimika tukiingia katika mjumuiko huu wa majukwaa yetu.

Husikeni na kichwa cha habari hapo juu,
Mimi kijana wala sio mzee so bado najifundisha mambo mengi ya kwenye jamii zetu.
Najua humu tuna watu wazima waliopitia mengi kabla yetu sisi kizazi cha Mh. Mwinyi tulozaliwa na kukuta ile ruksa nadhani mnatutambua vizuri.
Binafsi ninae rafiki yangu wakike ambae huwa tunajadili mambo mbalimbali yakijamii
Kiutamaduni, maendeleo na elimu mbalimbali.
Tulisoma wote shule ya msingi ijapokua hapo hatukua marafiki kivile, na ilimu ya sekondari tulisoma shule tofauti.
Tumekutana tu tena tu ukubwani na kwasasa ana mchumba na mimi nina katoto kangu kazuri ka Iringa huko.

NB: nimeeka bayana isije wanamazengo wakasema tunatafunana.

Huo ulikua ni mfano tu na urafiki ni mkubwa kiasi tunashare karibia mambo mengi hata akipata tatizo au nikipata tunashauriana.

Nia ni kutaka kusikia machache kutoka kwenu kwamba ushkaji wa mwanamke na mwanaume huwa mnautazama katika mtazamo gani na huwa una tija zipi na hasara zipi hii nafikiri itajenga ufaham fulani baina yetu vijana natumaini majibu yatakua ya busara na maono ya kiutu uzima.

Pia tukieza fahamu haya yote nafikiri tutajenga jamii nzuri yenye mitazamo chanya kuhusu masuala kama haya.

Karibuni mtupe darasa pia vijana tupeane maarifa katika hili.

Ahsanteni.
mm ni msichana nina marafiki wa kiume ila kwa sababu nawajua vzur hakuna nilie na mazoea nae ya kipuuz mana wanaume wengi anaanza kama utani mara shemdarling mara akushike afu anakuskilizia ukiitika anakulala kweupeeeee...mama angu alinambiaga hakuna urafiki wa mwanamke na mwaume sikua namuamini..ila saivi NAAMINI..wanaume sio waaminifu kwenye urafiki..mimi nina mipaka na marafiki zangu wa kiume mada za kipuuz sijadiri nao cos wanaanziaga apo. 1 percent ndo waaminifu.
 
Kaka hii siyo ya kushuri inatokea auto.....atakuzoea wew kuliko mtu wake, kunawakati mtaanza kutajana majina kwa wapenziwenu....utaleta siku mrejesho humu ndani
Sawa ngoja tuone, ikifika huko nitaadd matokeo hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom