Mwanaume kuwa na mwanamke mmoja

jamani jamani hivi nn kinachangia wanaume kuwa na mahusiano zaidi ya she mmoja. maoni yenu tafadhali yaweza saidia kujua ma she tunakosea wapi.

Hivi Lady G, unategemea mwanaume afanye nini sasa, kama unajua kabisa ana mke/GF bado wewe unajipeleka peleka kwake!!!!lazima akutafune tu
 
mmmmh kwa hyo akikutafuna ndo mwanzo wa mahusiano au akitafuna na moto bati
 
Hivi Lady G, unategemea mwanaume afanye nini sasa, kama unajua kabisa ana mke/GF bado wewe unajipeleka peleka kwake!!!!lazima akutafune tu

ndipo ninaposema wao ndio sosi ya ss kuwa nao wengi at time
 
sio wote, mimi nilimuoa mke wangu akiwa bikira, mimi pia nilikuwa bikira na sijawahi kwenda na mwanamke mwingine maisha yangu yote, ndoa yetu ina upendo wa ajabu, na hatuna mawazo ya kutoka nje ya ndoa kwasababu zaidi ya kupendana, tunamwogopa Mungu. huu ni ukweli toka moyoni.
 
hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja hata PAPA wa vatican atakua alishamega mahali!
 
jamani jamani hivi nn kinachangia wanaume kuwa na mahusiano zaidi ya she mmoja. maoni yenu tafadhali yaweza saidia kujua ma she tunakosea wapi.
Lady G
Swala lolote linalohusu tabia ya binadamu halina jibu moja. Hivyo kwa swali lako jibu sio moja tu, kuna majibu mengi sana kutokana na wahusika wenyewe, mazingira, imani yao, umri, elimu, makabila, marafiki, wazazi, malezi wakati/mda na mengine mengi. Hivyo sababu ya mimi kuwa na ma-she wengi inaweza kuwa tofauti na mwingine kuwa nao wengi. Jibu sahihi kwangu siyo jibu sahihi kwa mwingine.

Sasa basi kama una tatizo hili kwa dume lako, lifikirie katika three dimensions utapata majibu mengi kwa nini jamaa anatoka nje na ukifanya screening yamajibu yote tafuta yale makuu yafanyie kazi hakika jamaa atatulia kwako, akili zetu sisi wanaume ukizijua zilipo ni limbwata tosha.

Kikububwa elewa kuwa:
Mwanamme ni Mfalume (anahitaji utii kutoka kwa Malkia)
Mwanamke ni Malkia (anahitaji kupendwa na mfalume) thus all
 
wanaume wenye majukumu km wanaume ndo wachache
wanaume wenye VIUNGO VYA KIUME WAPO TEEEEEEEEEEEEEEEELE na ndo ao waliowazd wanawake kwa idadi as wel wanawake wenye uke ni weeeeeeeeeeeeng lakin wenye ukike ni wachache.
alamsik.
 
sio wote, mimi nilimuoa mke wangu akiwa bikira, mimi pia nilikuwa bikira na sijawahi kwenda na mwanamke mwingine maisha yangu yote, ndoa yetu ina upendo wa ajabu, na hatuna mawazo ya kutoka nje ya ndoa kwasababu zaidi ya kupendana, tunamwogopa Mungu. huu ni ukweli toka moyoni.

Usiusemee moyo wa mwenzi wako, sema hujawahi kutoka nje ila mke wako hujui kama amewahi kukusaliti.
 
wanaume wenye majukumu km wanaume ndo wachache
wanaume wenye VIUNGO VYA KIUME WAPO TEEEEEEEEEEEEEEEELE na ndo ao waliowazd wanawake kwa idadi as wel wanawake wenye uke ni weeeeeeeeeeeeng lakin wenye ukike ni wachache.
alamsik.

Mhhhh Rose....Haya bwana. ngoja nicheke niongeze siku zangu za kuishi!
 
Back
Top Bottom