Mwanaume kuwa na mwanamke mmoja

Wanajaribu kusaidia wanawake wasio na mabwana maana wanawake ni wengi kuliko wanaume. Do you think they dont need it?
 
Muonekano wa nje wa mwanamke ambao hutofautiana kati ya mwanamke na mwanamke ndio kinachosababisha.
 
ni tatizo la kibaolojia zaidi. Kwa mfano dume moja la ng'ombe linatakiwa kuhudumia majike tofauti 20-25!

Ila inawezekana kutulia na mmoja tu ingawa ni maisha ya mateso na kujinyima sana. Naamini ni wachache sana wanaoweza kusimama mbele ya umma na kunyoosha mkono kwamba wameweza kumudu hiyo aina ya useja katika maisha yao yote!! I wish i could!

characteristics of the animal kingdom...full stop!
 
jamani jamani hivi nn kinachangia wanaume kuwa na mahusiano zaidi ya she mmoja. maoni yenu tafadhali yaweza saidia kujua ma she tunakosea wapi.

Naturally, all male organisms are polygamists. Iwe Jogoo, Fahari au binadamu, lazima atapenda kuwa na majike/wanawake wengi. Ustaarabu wa kibinadamu pamoja na mambo ya dini na sheria mbalimbali ndizo zinazolazimisha mwanaume asifanye kama wanyama wengine. Hata hivyo KUTORIDHISWA/KUTOFURAHISHWA na mwanamke mmoja kunaweza kupelekea mwanaume atafute mtu mwinginge atakayemfurahisha/ridhisha. Ukumbuke kuwa kufurahisha huko sio tu katika masuala ya ngono bali pia KUWEPO KWA AMANI, KUKOSEKANA kwa KERO, GUBU n.k. Kama suala la ngono lipo poa, na uhusiano umejaa Upendo na amani, na mwanamke huyo hana KERO za ovyo, mwanaume anaweza kukaa na mwanamke mmoja kwa muda mrefu.
 
Natafakari nikijumlisha na maneno ya hawa marijali, sipati jib, iv ni kweli mwanaume hawezi kuishi na mwanamke mmoja? na ukiangalia anae mke nyumbani tena mzuri tuh lakin lazima awe namwngine nje, mwengine katoka kuoa jana, anamwacha mkwe kwny saba za mwanzo ye anaenda kupiga msichana mwengine nje, ndo kusema amuwez ama najua humu kuna marijali saidia hapo......
 
Natafakari nikijumlisha na maneno ya hawa marijali, sipati jibu.

Hivi ni kweli mwanaume hawezi kuishi na mwanamke mmoja, ukiangalia anae mke nyumbani tena mzuri tu lakini lazima awe na mwingine nje, mwengine katoka kuoa jana, anamwacha mkwe kwenye saba za mwanzo ye anaenda kupiga msichana mwengine nje, ndo kusema hamuwezi ama najua humu kuna marijali saidia hapo.
 
Vipi na nyie na ile falsafa ya Mafiga matatu au 'kidumu'.
 
Inawezekana sana mwanamme na hata mwanamke kuwa na mwenza mmoja tu lakin huwa tunajidanganya kuwa kubadilisha taste na mwanzo wake huanzisha tabia ambayo mwisho wake tunaihalalisha kwa kusema mtu hawez kuwa na mwenza mmoja. Kwa swali lako ni inawezekana kabisa.
 
Inawezekana na hata kuishi bila mke hata mmoja na hivyo hivyo kwa mwanamke pia, hayo matatizo mengine ni mapungufu na matamanio ya kutaka zaidi.
 
Lady G
Swala lolote linalohusu tabia ya binadamu halina jibu moja. Hivyo kwa swali lako jibu sio moja tu, kuna majibu mengi sana kutokana na wahusika wenyewe, mazingira,o imani yao, umri, elimu, makabila, marafiki, wazazi, malezi wakati/mda na mengine mengi. Hivyo sababu ya mimi kuwa na ma-she wengi inaweza kuwa tofauti na mwingine kuwa nao wengi. Jibu sahihi kwangu siyo jibu sahihi kwa mwingine.

Sasa basi kama una tatizo hili kwa dume lako, lifikirie katika three dimensions utapata majibu mengi kwa nini jamaa anatoka nje na ukifanya screening yamajibu yote tafuta yale makuu yafanyie kazi hakika jamaa atatulia kwako, akili zetu sisi wanaume ukizijua zilipo ni limbwata tosha.

Kikububwa elewa kuwa:
Mwanamme ni Mfalume (anahitaji utii kutoka kwa Malkia)
Mwanamke ni Malkia (anahitaji kupendwa na mfalume) thus all

Treat me like a Queen I will treat you like a King. Sio wataka ufalme wakati mwenendo wako wa kilala hoi. Natamani mume Wangu angekuwa na tabia nzuri yaani ningemlamba hadi miguu. Lakini fikiri mtu unamnyo.nya kunako..... kesho wasikia anawatu kibao kweli utaendelea, pili umeyajua hayo yote anataka pia akukute umefurahi hivi Mimi in tahira? Ndo utasikia wanawake wako moody.
 
wanaume wenye majukumu km wanaume ndo wachache
wanaume wenye VIUNGO VYA KIUME WAPO TEEEEEEEEEEEEEEEELE na ndo ao waliowazd wanawake kwa idadi as wel wanawake wenye uke ni weeeeeeeeeeeeng lakin wenye ukike ni wachache.
alamsik.

Nimekupenda sana.
 
Jamani hivi nini kinachangia wanaume kuwa na mahusiano zaidi ya mwanamke mmoja.
maoni yenu tafadhali yaweza saidia kujua wanawake tunakosea wapi.

Maoni yenu tafadhali.

Nani aliyesema mwanaume anatakiwa kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja? imeandikwa wapi?. Ni utaratibu uliowekwa na nani?

 
wote mnaofagilia kutafuta mboga tofauti mjue siku wakijua nao watatafuta juice ladha tofauti. Mjue marafiki zenu mnaoendaga sehem sehem ku...... Huja kutuambia kila kitu na kututongoza kwa gia hizo. Tena huwakandia kuliko maelezo na ukiangalia unaona kweli kabisa yaliyomo yamo!

Ni kweli kabisa mi rafiki za mume Wangu wamekuwa wakinijia kwa staili za udhaifu wake wananipa hadi picha za matukio ili nilegee il a siwezi tumia udhaifu wa mtu kujidharirisha. Pia nilidhani mtu akitembea sana na watu wa aina tofauti anakuwa na maujuzi kumbe sio. Wengine ni wadhaifu wanatapatapa tu.
 
Back
Top Bottom