Mwanaume kuwa na mwanamke mmoja

Inawezekana ila ni ngumu sana, labda ungeuliza kwa nin wanaume wanatoka nje ukushajua sababu ujaribu kuavoid
 
Treat me like a Queen I will treat you like a King. Sio wataka ufalme wakati mwenendo wako wa kilala hoi. Natamani mume Wangu angekuwa na tabia nzuri yaani ningemlamba hadi miguu. Lakini fikiri mtu unamnyo.nya kunako..... kesho wasikia anawatu kibao kweli utaendelea, pili umeyajua hayo yote anataka pia akukute umefurahi hivi Mimi in tahira? Ndo utasikia wanawake wako moody.

Usisubiri uwe treated kama queen, fanya nafasi yako kwanza. Tatizo mapenzi yenu ya nipe nikupe ndio maana wengi mnapata shida. Lakini mimi naamini wanaume waaminifu tupo wengi sana.....!
 
Binafsi niliweza kujizuia kuwa na mpenz m1 niliyempenda sana na ckuwah kumcheat kwa miaka miwil japo nilipata wkt mgumu sana kwan nilijinyima vngi vzur kuogopa kumuumiza na kujiumiza mwenyew kihisia..mwishowe yeye ndo akanicheat tena baada ya kumfuma mm ndo niliambiwa nakiherehere kwnn nafatalia mambo yasiyonihusu! Inshort naweza sana kuwa na mwanamke m1 na nikaridhika ila mpk roho mtakatifu anidhibitishie na yeye yupo na mm 2
 
Naturally, all male organisms are polygamists. Iwe Jogoo, Fahari au binadamu, lazima atapenda kuwa na majike/wanawake wengi. Ustaarabu wa kibinadamu pamoja na mambo ya dini na sheria mbalimbali ndizo zinazolazimisha mwanaume asifanye kama wanyama wengine. Hata hivyo KUTORIDHISWA/KUTOFURAHISHWA na mwanamke mmoja kunaweza kupelekea mwanaume atafute mtu mwinginge atakayemfurahisha/ridhisha. Ukumbuke kuwa kufurahisha huko sio tu katika masuala ya ngono bali pia KUWEPO KWA AMANI, KUKOSEKANA kwa KERO, GUBU n.k. Kama suala la ngono lipo poa, na uhusiano umejaa Upendo na amani, na mwanamke huyo hana KERO za ovyo, mwanaume anaweza kukaa na mwanamke mmoja kwa muda mrefu.

Daah leo nimeelewa sana why wanaume Wanachepuka, nawapongeza kwa uwazi wenu, kwa somo hili binafsi litanisaidia kuboresha kuliko kuendelea kupingana na uhalisia kutaka Me awe perfect kwa 100%
 
Inaniuma kusema sisi ke' tupo wengi than me'...but dic isn't a solution kwamba me ashnidwe kuwa na mpenzi/mke mmoja basi tuu ndo hulka yao hiyo most of them!!!

Sasa km ukweli ndio huo..! Just imagine aliyekosa afanyeje afe mgumba huku wanaweza kumpa mbegu naye akawa mzazi ebu acha hizo wanawake mpendane haya maneno akiyasema mwanaume na tabia ya wanawake kuwa na wanaume wengi ataeleweka maana ata biological factors doez not supporting you women!
 
Kiasili male anahaki ya kuwa na females zaidi ya mmoja. Tusizidanganye nafsi zetu. Binadamu ni mnyama na Mungu amemuumba male aweze kuhudumia females zaidi ya mmoja. Angalia tu hapo una majogoo wangapi? Mbuzi dume? Tena wanyama hufanya kwa ajili ya kuzaliana tu na si kwa kustarehe kama binadamu . Mwanamke husikia hamu siku zisizozidi 4 kwa mwezi wakati mwanaume husikia hamu zaidi ya mara 50 kwa siku. Hata design ya organs imetengenezwa hivyo km haiwezi kuwa na working hrs sawa na mb. Ndiyo maana males wanaojitia kukomaa na female mmoja huwa wanaichosha upesi k baada ya muda huwa haina ladha na hapo ndiyo matatizo huanza( tunayajua) kwani km huwa imechoka wakati mb bado robo ya safari bado. Tumepewa akili tuitumie kupambana kisayansi ili tufanye maisha yetu yawe ya uhuru na uhalisia
 
Kuwait against it in kama kutaka kuchakachua gravity...majani ya miti yaangukie juu badala ya chini
 
Inaniuma kusema sisi ke' tupo wengi than me'...but dic isn't a solution kwamba me ashnidwe kuwa na mpenzi/mke mmoja basi tuu ndo hulka yao hiyo most of them!!!
Secrecy hiyo populatipn ratio si sahihi. Dunia is almost balanced. Hapa kinachosababisha ni ukweli wa kisayansi. Mwanamke husikia hamu kwa kalenda maalum wakati mwanaume ni kwa kuona au kukumbuka au kuwaza na hmchukua sekunde 8 kuwa tayari kwa kazi. Hamu ya males inadhibitika wakati ya females inaweza hata kuleta matatizo ya akili. Kama wote tutafanya kwa kusikia hamu na uwezo wetu kudhibiti hali zetu sijui ingekuwaje. Huwa nawaangalia farasi females wakiwa heat anavyohangaikasipati picha kwa wanadamu wanavyougulia ndani kwa ndani wanakuwa wakali kwenye daladala
 
Ahahhahaa yaaani umenchekesha uliposema wanakuwa wakali kwenye daladala..loooh!!!
 
ni tatizo la kibaolojia zaidi. Kwa mfano dume moja la ng'ombe linatakiwa kuhudumia majike tofauti 20-25!

Ila inawezekana kutulia na mmoja tu ingawa ni maisha ya mateso na kujinyima sana. Naamini ni wachache sana wanaoweza kusimama mbele ya umma na kunyoosha mkono kwamba wameweza kumudu hiyo aina ya useja katika maisha yao yote!! I wish i could!
hahaah i like you umekua mkweli.. Allow me to call you light city and not dark anymore.
 
secrecy hiyo populatipn ratio si sahihi. Dunia is almost balanced. Hapa kinachosababisha ni ukweli wa kisayansi. Mwanamke husikia hamu kwa kalenda maalum wakati mwanaume ni kwa kuona au kukumbuka au kuwaza na hmchukua sekunde 8 kuwa tayari kwa kazi. Hamu ya males inadhibitika wakati ya females inaweza hata kuleta matatizo ya akili. Kama wote tutafanya kwa kusikia hamu na uwezo wetu kudhibiti hali zetu sijui ingekuwaje. Huwa nawaangalia farasi females wakiwa heat anavyohangaikasipati picha kwa wanadamu wanavyougulia ndani kwa ndani wanakuwa wakali kwenye daladala

at least am convinced na your comment kuhusu biological factors, its not about women being many...
 
kujizuia kwa muda wa siku saba bila ya kusex ni ngumu kwangu ndio maana siwezi kua na mmoja
 
jamani hivi nini kinachangia wanaume kuwa na mahusiano zaidi ya mwanamke mmoja.
Maoni yenu tafadhali yaweza saidia kujua wanawake tunakosea wapi.

maoni yenu tafadhali.

wengine ni hulka tuu na tamaa, but wapo wachache sana wanaoweza kuwa na mmoja. But otherwise wanawake tusijidanganye mwanaume hana wengine wa nje, cha kuhakikisha unacho kwa huyo mwanaume ni wewe kuwa shareholder mkubwa tu, the rest unatafuta stress tuu.
 
Binafsi niliweza kujizuia kuwa na mpenz m1 niliyempenda sana na ckuwah kumcheat kwa miaka miwil japo nilipata wkt mgumu sana kwan nilijinyima vngi vzur kuogopa kumuumiza na kujiumiza mwenyew kihisia..mwishowe yeye ndo akanicheat tena baada ya kumfuma mm ndo niliambiwa nakiherehere kwnn nafatalia mambo yasiyonihusu! Inshort naweza sana kuwa na mwanamke m1 na nikaridhika ila mpk roho mtakatifu anidhibitishie na yeye yupo na mm 2

roho mt anakuthibitishiaje?
 
Back
Top Bottom