Mwanaume kuwa na mwanamke mmoja

jamani jamani hivi nn kinachangia wanaume kuwa na mahusiano zaidi ya she mmoja. maoni yenu tafadhali yaweza saidia kujua ma she tunakosea wapi.

Kukujibu ki ukweli zaidi ni kuwa mwanaume ameumbwa na anaweza kutongoza pale anapovutiwa na mwanamke akijisikia kufanya hivyo ila kwa mwanamke hawezi kufanya hivyo ana mipaka na hivyo kujizuia na tabia za mahusiano tata
 
Hii sio kwa ma men tuu, bali aki mama pia, nadhan ni dhana ilio ibuka miaka hii yakua na mpenz zaidi ya mmoja nikitu cha kawaida, na mbaya zaidi hata maandiko ya iman za kidin watu hatuna uoga nayo tena, kwa hitimisho tu kwa mtazamo wangu ni mabadiliko ya kifikira ya dunia nzima!
 
ni katika kutafuta radha mbalimbali tu...si unajua tena kama mboga ni ileile kila siku?
wote mnaofagilia kutafuta mboga tofauti mjue siku wakijua nao watatafuta juice ladha tofauti. Mjue marafiki zenu mnaoendaga sehem sehem ku...... Huja kutuambia kila kitu na kututongoza kwa gia hizo. Tena huwakandia kuliko maelezo na ukiangalia unaona kweli kabisa yaliyomo yamo!
 
hahaha samawati Lol
Mi bana hawa jamaa nishawajulia maana nimewafahamu long time sana nikiwa kigori mbichiii! Hawaniambii kitu kabisaa.Nshazibuka sana na kwa sasa najali zaidi raha na starehe yangu binafsi.Mwaga mbona nimwage ugali tena wa muhogo..nini sembe?NINA USONGO NAO SANA.
 
Sababu ni kwamba SHE'S wapo wengi kuliko HE'S inabidi iwe hivyo ili watoshelezane!!
............Oa wawili, watatu au wanne, Ukishindwa kutenda haki(Uadilifu) baki na mmoja!(Quran).............. ukibishana na hili, ushahidi ni hilo swali lako!
 
jamani jamani hivi nn kinachangia wanaume kuwa na mahusiano zaidi ya she mmoja. maoni yenu tafadhali yaweza saidia kujua ma she tunakosea wapi.

Weka vizuri swali lako. Unataka kujua ni kwanini mwanamme anaweza na ameruhusiwa kuoa mwanamke zaidi ya mmoja au ua unataka kujua ni kwa nini mwanamme anaweza kuwa na wanawake wengi/vimada mbali ya kuwa ameoa???!!
 
nadhani ratio ya me/ke inaruhusu kuwa na zaidi ya mmoja
 
Mi bana hawa jamaa nishawajulia maana nimewafahamu long time sana nikiwa kigori mbichiii! Hawaniambii kitu kabisaa.Nshazibuka sana na kwa sasa najali zaidi raha na starehe yangu binafsi.Mwaga mbona nimwage ugali tena wa muhogo..nini sembe?NINA USONGO NAO SANA.

Pole sana samawati, siyo wote tuko hivyo, njoo kwangu nitakufuta machozi na utawasahau hao waliokuwa wanakuliza tangu ukiwa kigoli, anagalia usije ukamlipizia kisasi mtu asiye na hatia.
 
kwani huko anakoenda kwa huyo wa nje, hatokinai? Na akikinai anaenda wapi?
 
If your man wants you to change some of your ways and habits and you don't comply, chances are he would start looking for those habits in someone else. If you don't dress up nicely, don't meet him at the door when he comes back from work and don't cook him his favorite meals, he would start discussing these things with someone outside who is close to him. In most cases these close people are women. Watch out for all your actions as well as your partner's.

Men also cheat because they think it's their right to get involved in a number of relationships before finding the one who is made for them. They take it as a challenge and try to prove to the world that they can attract many women at the same time without much effort.
 
jamani jamani hivi nn kinachangia wanaume kuwa na mahusiano zaidi ya she mmoja. maoni yenu tafadhali yaweza saidia kujua ma she tunakosea wapi.

Haya ni matokeo ya kukataa maandiko matakatifu ya Qurani yanayo wapa ruhusa kuoa mke zaidi ya mmoja hivyo kujidai wana mke mmoja na kujiiba na kuwa na mahusiano mengi yasio rasmi, vmada a.k.a vidumu. Hakuna tunapokosea!
 
Back
Top Bottom