Mwanaume kuvaa cheni

Shem unamega gizani? Why shem? Utajamega wadudu shauri ako.

Shem si unajua mambo ya protokali ya itifaki,
siku moja namega na taa , na siku moja namega with taa off !
Niulize sababu yake ! Hii hapa
Kwamba tuzoee kwa hali zote ! Ngeleja na mdogo wake Mr. Mapete hata wakizira kutuletea huduma sie poa tu!
Wakileta sie shwari tu , all weather.
S a w a s a w a
 
Hiki kichwa cha habari kimekaa kimtego sana
Utadhani namwona mwanamme kavaa cheni afu anatikisa sijui nini.

Hivi mwanamme anaweza cheza kanga moko ndembe ndembe kweli??
 
Shem si unajua mambo ya protokali ya itifaki,
siku moja namega na taa , na siku moja namega with taa off !
Niulize sababu yake ! Hii hapa
Kwamba tuzoee kwa hali zote ! Ngeleja na mdogo wake Mr. Mapete hata wakizira kutuletea huduma sie poa tu!
Wakileta sie shwari tu , all weather.
S a w a s a w a
Hahaha! Nimekuelewa shem langu! Nimecheka Mr. Mapete hahaha!
 
My mpenzi kabla sijakujibu!
Initial ya Honey "hyn" mbona inakua ina resemble na jina lako pia? Vinaingiliana hasa. Kuhusu mmego! Kumegwa unataka ujue kukoje ?
Unakumbuka jana mara tu , tulipozima taa ?
Kilichofata si unakikumbuka?
Ndiyo vile sasa .

ooh! Yaaaah!....
 
Habari,

Nipo sehemu msibani nikitupia jicho naona si chini ya vijana wa tano wana cheni shingoni. Najiuliza hii mambo imekaaje? Halafu sio vijana wadogo ni wale above wa kama 40s. Kidogo napata wakati mgumu kuelewa especially kwa mahala kama hapa.Hii imekaaje au wadada mnanunulia bf na husband wenu cheni mfanane nao? Au ndio umaridadi?

mi nimevaa rozari hapa nilipo unasemaje kuhusu hiyo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom