Mwanaume kuvaa cheni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaume kuvaa cheni

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Stoudemire, Mar 29, 2012.

 1. S

  Stoudemire JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 840
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Habari,

  Nipo sehemu msibani nikitupia jicho naona si chini ya vijana wa tano wana cheni shingoni. Najiuliza hii mambo imekaaje? Halafu sio vijana wadogo ni wale above wa kama 40s. Kidogo napata wakati mgumu kuelewa especially kwa mahala kama hapa.Hii imekaaje au wadada mnanunulia bf na husband wenu cheni mfanane nao? Au ndio umaridadi?
   
 2. S

  SI unit JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kumbe bi'dada ndo wahusika. Ngoja waje
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  Hata ben anavaa sembuse vijana.
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...habari ni nzuri ndani ya Jf...
  pole na msiba japo inaonekana haukuhusu/hukuhuzunika sana mana umeweza kuleta data humu!..
  40s sio vijana...
  kuhusu cheni ni swagga tu na mtu anavyojisikia kua ni sahihi...sio lazima sana mimi/wewe ufurahie!...binafsi sina shida na mvulana anaevaa cheni...wewe ulikua unamtazamo gani katika hili?
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  cheni inatatizo gani? wangevaa hereni, kusuka nywele au vikuku hapo hofu ingetawala....cheni haina jinsia....
   
 6. S

  Stoudemire JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 840
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kibinafsi sipendelei kuvaa hizo mambo,ila nilitegemea wanaovaa nao waangalie mazingira na umri wao pia.
   
 7. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Cheni inaongeza utanashati. Na bracelet je? Na pete kama za naibu waziri wetu?
   
 8. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uvaaji cheni hauna shaka ni suala la kawaida sana na wala haliangalii msiban; maofisini, kunako starehe wala shereheni; ingawa ukiamua kulieka kidini zaidi hasa kwa hawa wenzangu waislam waijuao dini ndio nasikia wana walakini nazo"
   
 9. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Ni mitindo tu ya maisha wala usijali...sasa hivi ukiangalia sana unakuta watu wanarudi kwenye swaga walizoacha zamani tena za kimila...mfano kutoboa sikio....but unakuta zamani wazee walitoboa,kuvaa trousers zinazobana,unakuta ni swaga za zamani sana
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,966
  Likes Received: 23,853
  Trophy Points: 280
  Napenda sana kuvaa cheni lakini nakumbuka maneno ya mama yangu kuwa cheni ni kwa ajili ya wanawake, basi najikuta sithubutu kuivaa.
   
 11. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Haujawahi kuiona ya Mh Mkapa?, hata Baba Mwanaasha nae anavaa ingawa ajiachii kiivyo kama alivyokuwa anaiachia Brother Ben.
   
 12. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hahahaa...ukanikumbusha kale kawimbo ka maaama maaama mama...uwezo wakukulipa sina...ni mama yako usimnyoshee kidole...LOL
   
 13. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  cheni sio kitu cha ajabu kwa mwanaume, mimi napenda feance wangu akivaa cheni na kila nikitika nae huwa nahakikisha ana cheni shingoni, hata nikienda for shopping huwa namnunulia chani nzuri za kiume za silver pamoja na zawadi zingine
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hakuna ubaya.
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,966
  Likes Received: 23,853
  Trophy Points: 280
  Hata wakivaa shanga hakuna ubaya
   
 16. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  hata vikuku
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Wavae hata shanga ndio, wapambe viuno.
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,966
  Likes Received: 23,853
  Trophy Points: 280
  Na vikuku wapambe miguu yao ya kushoto.
   
 19. maziwa ya mgando

  maziwa ya mgando Senior Member

  #19
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwanamme ni saa na pete ya ndoa tu.
  mengine haya kujiongeza kilo zisizo za lazima.

  Tena na nywele zisiwe mwembe dodo.
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  vikuku hapana ila shanga wavae..
   
Loading...