Mwanaume kuvaa cheni

Mwanaume vipambo anavyotakiwa kujinakshi navyo ni vya Silver, vinginevyo pambo lolote la Gold kwa Mwanaume ni kutafuta kumegwa .
 
hny kumegwa ndio nin?

My mpenzi kabla sijakujibu!
Initial ya Honey "hyn" mbona inakua ina resemble na jina lako pia? Vinaingiliana hasa. Kuhusu mmego! Kumegwa unataka ujue kukoje ?
Unakumbuka jana mara tu , tulipozima taa ?
Kilichofata si unakikumbuka?
Ndiyo vile sasa .
 
Shem unamega gizani? Why shem? Utajamega wadudu shauri ako.
 
mi sijafundishwa kuvaa cheni na wazazi wangu ukija kwenye dini ndio balaa wakikuona ni bakora. Umri huu nimevuka robo karne naelekea nusu yake sijui kuvaa cheni nammununulia wifi yenu tu mi wala imepelekea mpk nisiwe mpenzi wa kuvaa saa.!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom