Mwanaume kutovaa chupi

Kuna ushauri wa kiafya kuwa, mwanaume usivae inayo kubanaa sana. Iwe legelege hivi ili korodani zisibanwe vifuko viweke mbegu vizuri. Haswa kwenye joto jingi ni vyema nguo hiyo iwe legelege kuruhusu cooling system itende kazi yake. Hivyo kama huvai na huna shida ni bora pia.
 
Sio tatizo kabisa.
Tubeless Ina save mda sana, hasa hasa ukipata pancha.
Hakuna mambo ya kutoa tube kuziba ni mwendo wa kujaza upepo na kuchomeka utambi kwenye tobo linalo vujisha upepo.
 
Ndo wasomi wetu hawa.....embu wewe tueleze kwa hiyo elimu yako kuanzia darasa la saba mpaka chuoni...unaonaje?
 
Aise this is too low kwa mtu wa level yako kuuliza
 
Na migari ya dar inavyojazwa hua unashika chuma na midume ikiwa nyuma yako na usuruale wa kitambaa? Kuna kitabia kibaya kitakupeleka unapoelekea
hahahh,,ndo unachowaza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…