Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,674
tpmazembe acha kutete uasherati na uziznzi hapa,umeyatolea wapi hayo?aliyekuuumba ndo alikuumba hivyo au umejiwekea wewe tu hivyo sheria?em prove kibiblia au hata kisayansi kwamba ni lazima mume awe na mke zaidi ya mmoja,kwa hiyo wewe kugegeda ni chakula,maji au hewa kwamba kila ukikosa hizo siku kadhaa za mwezi unadhoofu au kufa kabisa?shame on you na huyo mkeo alijichanganya kwa kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Last edited by a moderator: