Mwanaume kuoa mke mmoja ni utumwa

Mwanaume kuoa mke mmoja ni utumwa

Jamani tufanye kama hapa mnatani tu maana wengine wake zetu wapo mbali yani ukiwaza jinsi unavyommanuwamanuwa ndio aje dume lingine kumbiduwabiduwa? Hell no hizi thread zenu ukiwa na ugonjwa usifunguwe kabisa.

hahahahahahahahaha
umenichekesha sana daahhh

mkuki kwa nguruwe..........:becky:
 
Mmm kweli Lakini inaumaje mie moyo wangu hauchukui sijui kwa nini, yani kujua mume wangu anamke mwengine duh.... Bora kusamehe...
 
mwanamume kuwa na wake zaidi ya mmoja ni uzinzi na mwanamke kuwa na waume zaidi ya mmoja ni uzinzi vilevile na mzinzi sehemu yake ni ile jehanamu iwakayo moto!!!!!!!
Mkuu taratibu wenyewe wakiingia humu hapatatosha
 
yaani wewe umeongea point nzuri kabisa kwani wanaihalalisha dhambi iwe kweli wakati Mungu aliiumba mwanadamu mwanamume mmoja na mwanadamu mwanamke mmoja kisha akamwambia yule mwanaume atampa msaidizi wake ambaye ni mwanamke akawaunganisha akasema nendeni mkazae mkaiongeze nchi

cha kushangaza hao wanaosema wawaoe zaidi ya wanawake watatu mbona hatuwaelewi kwanini wanapingana na mpango wa Mungu,?
mwanamume kuwa na wake zaidi ya mmoja ni uzinzi na mwanamke kuwa na waume zaidi ya mmoja ni uzinzi vilevile na mzinzi sehemu yake ni ile jehanamu iwakayo moto!!!!!!!
 
Halali kwako yaweza kuwa haramu kwangu-Na kinyume chake.
Hii si busara yangu mimi pekee.La hasha,
Ni kwa fikra ya wale wenye akili timamu pekee.

Ukimua kulibishia hili, Yawezekana Si kosa lako bali ni kwakuwa ubongo wako huenda umejaa mafinyofinyo.
 
Back
Top Bottom