Mwanaume anatakiwa kuwa na wake kwanzia watatu kuendelea hili suala la kuwa na mke mmoja ni kumbana mwanaume bure.
kikawaida mwanamke hawezi kumpa mwanaume huduma mwezi mzima kuna siku atakuwa na udhuru sasa siku hizo huyo mume kila mwezi awe mtu wa punyeto?
Kikawaida ili kumfanya mwanaume kuto kuwa na tamaa za nje inabidi awe na wake watatu kuendelea.ni mtazamo tu au mnaonaje wadau?