Mwanaume kukata kiuno hii ikojee?

Mwanaume kukata kiuno hii ikojee?

Mwanaume hakatiki anapekecha akiwa anatafuta kugusa G-spot!
 
ndiyo siyo kuweka tu na kwenda kama kata upepo loh!!!!!!!!

Kila mtu anapoanza gemu inategemea na aina ya uchezaji na siku zote watu tunapenda kufurahishana na wengi tunafanya kwa mazoea kwa vile X alikuwa anapenda hiv na Y nae pia. Sasa kama utaona ndivyo sivyo unampunguza speed
 
Yaani huyu analalamika jamaa ake hakati viuno na huyu nae analamika jamaa ake anakata viuno. Wote wanalalamika.
Kila mtu ana matakwa yake. Daaaah...
Dunia ina mambo mengi hii.
Msisahau kuwa uasherati ni dhambi ingawa mnajaribu kuipaka rangi kila siku iwe na muonekano mzuri lakini tatizo lipo pale pale.
 
lazma akate kiuno, wew huyo wako anakata kwa fujo nini ndio maana wakereka!
 
Zinaitwa fujo za kitandani, mtu akisikia kukata kiuno anafikiri ni kazi rahisi kuna ufundi na step zake, kuna timing zake wakati gani upeleke kushoto na wakati gani upeleke kulia, wakati gani uzame deepsea na wakati gani ukwangue ukuta...cheza kwa step usimkarahishe mwenzio

mama weee!!!! mama weeee unaonekana mtaaalam..... MankaM njoo huku umsikie mshana jr . alafu umwambie shemeji awe anafanya hizi sidhani kama itakuwa kero tena dada
 
yaani nimecheka hadi nnimeona haya hapa nilipo dah!!! we dada hatari sana hupendi mauno?
 
Mwanaume hakat kiuno kaz yake n ku pumping 'in n out'
kaz ya mwanamke ndo kuzungusha kiuno in 'circle motion'
 
mi naona km anapata raha akikata mauno basi kama kweli unampenda na unajali furaha yake, we jirilaksishe mwache akate wee hadi akojoe. (ila akiwa anapunguza spidi nawe katikaga kdg ili akumbuke kuwa nawe WAMO!)...hahahahahah!!!
 
Wana MMU habari zenu.
Nijulishen ulazima au umuhimu wa mwanaume kukata kiuno kwenye game . Mim binafsi naona anazingua na kuniondolea mood in short nakereka kwa kweli
Kuna mwingine kasema mpenzi wake anamtaka akate hayo mauno watch out akikutana na wanaopenda hayo maujanja ndo basi tena,mwambie tu kuwa haupendi akukatie mauno au ameona wewe haukati emeona akuambie kwa vitendo!
 
Back
Top Bottom