Mwanaume kukata kiuno hii ikojee?

Mwanaume kukata kiuno hii ikojee?

analielewa hilo kuwa sipendi bt automatic tu anaanza kijizungusha

basi cha kufanya yeye awe anakaa position ya demu ... kama kukaa chini wewe juu...

swali la kizushi wewe huwa unakata kiuno? sipati picha inakuwaje mkikata wote kiuno hapo.....
 
Jamaa anakuzidi speed ya mchecho? Unataka awe gogo?

sasa mkuu kuweka tu na kuanza kuzungusha kiuno si kero hiyo. kama feni imewashwa loh.... yawezekana anakta tu bila mpango ndo maana bi dada anakereka sana...
 
Kukatika lazima boy...

Sent from BlackBerry 9520
 
Wana MMU habari zenu.
Nijulishen ulazima au umuhimu wa mwanaume kukata kiuno kwenye game . Mim binafsi naona anazingua na kuniondolea mood in short nakereka kwa kweli

Akina Manka cjui huko kwa kina chagga gel wanajua kweli maana nasikia wao hulala kama gogo!!
 
Kama anafurahia kufanya hivyo mwache mana ndo starehe yake...

Swali la kizushi....nawe huwa unakatika..?
 
sasa mkuu kuweka tu na kuanza kuzungusha kiuno si kero hiyo. kama feni imewashwa loh.... yawezekana anakta tu bila mpango ndo maana bi dada anakereka sana...

Hahahah anatakiwa asome mchezo akiona speed anazuia mbona kuna trick za kuminya bana ...
 
Umezoea nje ndani ninini..?!?! Usidate vijana, tutafute vigagula hatuna mbwembwe, mgosi akishazama hatoki mpaka amalize na sera zetu ni kimoja kwa afya
 
teh teh teh wanafaudu mama

aaaah watu wa hivo kero tu badala wakomae kupiga p*mb* wao wanakomaa kukatika
mi nikipata njemba wa hivo muda wa game namuwekea CD yenye masongi kama "oyoyo""segere" "alaji"
n.k akatike hadi akome
 
Wana MMU habari zenu.
Nijulishen ulazima au umuhimu wa mwanaume kukata kiuno kwenye game . Mim binafsi naona anazingua na kuniondolea mood in short nakereka kwa kweli

Yesuu Manka unataka achomeke atulie ka gogo? Yesu na Maria
 
kero pale unapokata bila mpangilio loh!!!!!!!!

Zinaitwa fujo za kitandani, mtu akisikia kukata kiuno anafikiri ni kazi rahisi kuna ufundi na step zake, kuna timing zake wakati gani upeleke kushoto na wakati gani upeleke kulia, wakati gani uzame deepsea na wakati gani ukwangue ukuta...cheza kwa step usimkarahishe mwenzio
 
Back
Top Bottom