Napenda kukujibu kama ifuatavyo;
1. Mtu akileta hoja sio lazma iwe umbea!
Naam. Naam.
Kwa kujua hilo ndiyo maana nikauliza zaidi ya umbea tu, kuna sababu gani ya hili kuwa hoja.
Sijapata jibu mpaka sasa. Natumai unaweza kunipa mwanga zaidi.La sivyo, kutoa sentensi hiyo hapo juu bila hoja mbadala ni utovu wa fikra pevu.
binafsi hili suala huwa najiuliza sana is it right or wrong!
Right or wrong for who? What may be right for you might not be right for another. So again, right or wrong under what cosmogony and jurisprudence?
kwa maono yangu nikaona kama ni wrong,
Hujatujuza kwanza maono yako yanatokana na cosmogony au jurisprudence gani, umekimbilia kutujuza maono yako.
This is wrong already.
nikaamua kuleta mezani kila mtu atoe maoni yake!
Na waungwana kwa kutambua kwamba si tabia njema kwa mtu aliye na jambo linalomtatiza kuliweka hadharani halafu kutopata feedback, tukakujibu kwa kile ambacho tunaaamini kabisa mioyoni mwetu. Shukuru umejibiwa, kwani kuna watu wanapost threads ambazo zinakuwa dismissed bila majibu.
ili nielewe na nisiweze kujudge vibaya au hata madogo wakiniomba ushauri niweze kuwashauri jambo la maana!
Naam, naam. Kuelewa ndo mpango wote, kwa kadiri kuelewa kunavyoeleweka.
Sasa kama wewe unadhan kuleta thread kama hii ni kudiscuss maisha ya mtu unakuwa unakosea coz huwezi ukaongea kitu bila kumuhusisha binadamu yoyote!ndio maana kila thread unaona ni umbea!
Kuna tofauti kati ya "kudiscuss maisha ya mtu" "umbea" na "kumhusisaha binadamu". Inabidi uelewe tofauti.
I am a lover of biographies - though not hagiographies- (currently reading Henry Morton Stanley's by Tim Jeal) kwa hiyo sina tatizo na kudiscuss maisha ya mtu. Unaposoma biography una discuss maisha ya mtu na muandishi tayari.
Ninachokataa zaidi ya kudiscuss maisha ya mtu ni umbea wa kusema "Iiiil, fulani kavaa an orange stripped Adidas, that is soo 1982" bila ya kujua kwamba fulani ana designer's eye appreciation ya vintage Adidas anaye loop back to the sorta vintage 1982 look.
2. Ulichokiandika at least umetoa opinion zako ukiwa wewe mwenyewe kama mfano!thanks for ur input.
As well you should.Kuna watu wanaleta threads na kujijibu wenyewe hapa, na kuuliza kwa nini threads zao hazijibiwi. Yako si tu imejibiwa, bali imejibiwa kwa dear and personal anecdotes no less. Your civility is noted, but where are you going with this?
3.Congrats,it is a big step man,u did this just because uliondoka home ukaenda kutafuta maisha ila ungekuwa home labda hadi leo ungekuwa hakuna kitu.
Badala ya kuchomekeza vi labda, ni muhimu kuniuliza kwanza.
Unajuaje kama nyumbani kwetu ma Prime MNinisters walikuwa wana frequent regularly on an impromptu basis na kwa hiyo ingenipa advantage kuwa nyumbani zaidi ya kuondoka?
4.Nimekuambia wale wale coz ulinipa direct attack as if me naongelea maisha ya mtu. Ukileta mambo ya personal ishu kesho mtu atatembea uchi halafu mtu akileta kudiscuss hapa utakimbilia kusema ni personal life while inabidi liongelewe ili ijulikane kama ni wrong or right.
Ukim judge summarily mtu anayetembea uchi bila ya kumjua personally, kama ulivyo wa judge summarily watu wanaokaa nyumbani bila kuwajua personally, nitakuambia kitu kile kile nilichokwisha kukuambia hapa tayari.
It is better to understand -understanding does not come summary judgement, but intimate understanding- than to judge that which you do not understand.
Lest you call and judge a madman an extreme brand of the most debased prostitute simply because you do not understand his brand of mental condition.
5. Kama hujisikii kuchangia thread kwa wewe kuiona ya kimbea better u leave it kaongee na wapangaji wako wajamaica.coz sio lazma uchangie kila thread.
Obviously najisikia kuchangia, na ndiyo maana nikachangia.
Kipi kimekufanya ufikirie kwamba kuna uwezekano nimechangia bila ya kujisikia kuchangia? Unaweza kujibu swali hili? Maana usipoweza unaweza kutakiwa kuniomba msamaha.
6. Ulichosema kukaa home kusaidia wazee ni sawa but just know kusaidia unaweza ukasaidia hata usipokuwa home.
Mzazi ana ugonjwa wa moyo unaoweza kumuangusha na kumuua ndani ya dakika tatu. Niambie utamsaidiaje kaanguka saa tisa usiku ukiwa Kibaha na yeye yuko Mbezi Beach?
kwa mawazo hayo utasema watu wasiende kazini
Ushajua nitakachosema kabla mimi sijasema? Umetumia method gani? Tujuze, inawezekana kuna Nobel ya kwanza ya Mtanzania inatusubiri ndani ya Stockholm hapo.
[/QUOTE]ili wazee wasije wakaanguka wakakosa msaada.trust me hao unaowaongelea wewe ni percent ndogo sana ya watu tunaowaongelea.can't blame u haupo nchini so trend yao huioni.[/QUOTE]
Percent "ndogo" ni ngapi? Umefanya uchunguzi gani kukubali kwamba hyo ni percent ndogo?
7. Hadi nimeanzisha hii thread ujue nimeona vijana wengi sana wenye maisha ya namna hii.
Vijana wengi ni wangapi? Wengi kwa universal set gani? Wengi ndio wote? Kama ni wengi na si wote, kwa nini hukutoa hiyo qualification (along with your universal set, methodology and margin of error).
Ni hao tu.
Wasalimie wapangaji wako
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Wapangaji wangu hawataki salamu za watu wasiowajua. Usifikiri kila mtu kakua kama mtu wa kijijini kwako.