Mwanaume kukaa kwa wazazi!

Mwanaume kukaa kwa wazazi!

Una-taka kuni-aminisha kwamba elimu hii hii ya Tanzania na mfumo wake ulivyo k-wa sasa ni u-rithi tosha zaidi ya shamba?
Maana wazazi wanatu-rithisha ma-neno kwamba kwamba elimu ni u-rithi tosha.

Mkuu hayo mashamba yenyewe mafisadi washagawana!mzee wako mwenyewe unaweza ukakuta hata hilo shamba hana! Me naona mjini shule ni shamba tosha kama ukiitumia vizuri!

Watu wenyewe kijijin wanaacha mashamba wanakuja mjini kutafuta maisha

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hahahaahaahhahaaa!!!!! ama kweli mmewashambulia sana!!! nafikiri watabadilika, anyway ni kweli hata wanawake/wasichana wakijua unakaa home kwa wazazi na una kazi nzuri huwa wanawadharau so, mwanaume aliye kamili na amemaliza chuo anatakiwa ajitegemee yeye mwenyewe na asitegemee tena vya wazazi pale unaonekana mwanaume rijali na siyo mtoto wa mama. Au labda kuwe na sababu nyingine.

Mmmh! Thatha ku-sema ku-sema neno "mwana-ume rijali na siyo m-toto wa mama", ni kuwa-fedhehesha wana-wake hasa a-kina mama, ina maana m-toto wa mama ha-wezi kuwa rijali? Ha-wezi ku-fanya mambo ma-zuri mpaka mama yake aka-furahi-a ya mwana-e? Una maana gani?
 
What if utakaa na huo mshahara hadi uwe na 40 years?hautahama home?kwan wanaojitegemea wote wanalipwa mamilioni?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
What if nakaa home then mshahara ukipanda au maslahi yakiongezeka nahama, hapo kosa?? Wewe Kiwa unakaa kwenu, umepanga au umejenga?
 
What if nakaa home then mshahara ukipanda au maslahi yakiongezeka nahama, hapo kosa?? Wewe Kiwa unakaa kwenu, umepanga au umejenga?

Kama unasubiri mshahara kupanda na una uhakika after sometime utapanda sawa! Nnachosema mimi ni mtu anakaa tu bila malengo!

Mimi nimepanga,na ni kitu kimojawapo kinachonisukuma kujenga niwe na nyumba yangu kabisa!ningekuwa nakaa na wazazi nisingekuwa na msukumo wowote coz kulala bure,kula bure

Siku zote binadamu anahitaji challenges ili afanye maendeleo!

Wanaong'ang'ania nyumbani ndio hao hao wanakuwaga watata wa kugombania mali mzee akivuta

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Sasa wakitaka kuowa ndo utachoka, mara wapite jamiiforums mara facebook mara phonechat,
oooo nataka mchumba awe anakazi yenye kipato asiwe tegemezi!!
We ndugu yangu wanamabo hao.....

hahaha... Alaaa... Kumbe!
 
kiukweli:
its upsetting kiaina.labda kama tu anajenga or kuna mpango B
Ceteris paribus kwa mwanaume kukaa nyumbani inaondoa image ambayo A MAN anatakiwa awe nayo
 
Malengo yanatofautiana!jamaa yangu kabsa still anakaa kwao kaz nzur mwaka wa 4 huu..!amenunua gar na anamalizia ujenz wa nyumba yake kwan ktk v2 ambavyo anavpinga kikubwa ni kupanga

kupanga nyumba ni moja ya kujifunza maisha kwa upande mwingine ,lazima utapata experience fulani tofauti na ulivyozoea kwenu! siku zote kujifunza ni kuongeza maarifa......kwa hiyo kwa mtoto wa kiume,kwa umri wa utu uzima eti unakaa kwa wazazi wako kisa unasubiri nyumba yako iishe ni kujilemaza tu! .........itafika kipindi nyumba haiishi,umri umekwenda na utahitaji kuoa kwa akili yako itabidi uolee nyumbani na mke wako muishi hapohapo servant kota,etc....hii ni style ya kawaida hasa kwa vijana wa masaki,obay...badilikeni!!!!nyie ndio mnatusumbua huku kwenye misele
 
Habari zenu wakuu!

Huwa kuna jambo linanichanganya kweli!unakuta kijana wa kiume amemaliza chuo kikuu,anafanya kazi kwa miaka kama mitatu hivi ila cha kushangaza bado anakaa kwa wazazi!kibaya zaidi wengine unakuta wanakaa kwa ndugu very comfortable!

Kinachonikera hawa vijana ndo wa kwanza kujishaua mjini hapa kwenye starehe!

Anyway labda mimi najudge vibaya ila wenzangu kijana kama huyu mnamchukulia kama mwanaume au mvulana?!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Hapo ni suala zima la kipato cha familia wengi tunatoka familia zeny kipato duni na kama suala la kukaa kwako co tafsiri sahihi ya kujitegemea wangapi wamepanga kod na mahitaj wanaomba kwa wazaz wao hao wajitegemea sis tunaobaki kwa wazaz wetu weng wetu ndo tunajtegemea mana tunatafuta mahitaji yote ya familia nzima kila cku na kuback up wadogo zetu wasome na sis tukiwa pale kupunguza cost
 
Masharobaro wa siku hizi wanajua hilo?

Wanapenda dezo tu, wanadhani watu huanza maisha na mivogi,kumbe wapo wameanza kwa kupanga kwa mfuga mbwa
Yaani ni janga hawa vijana wa dot com. Kuwakomesha unawapa majukumu hapo home hakuna cha bure tena wenzetu wazungu wanaanza kuwafanya watoto wao wajitegemee mapema mno at the age of 18. Na kama anakaa kwao basi lazima atatake care baadhi ya bill no free lunch.
 
Huku jitu zima limeoa na mtoto juu linalsihwa

Kuna jamaa moja limegonga 40 bado liko kwa baba na mama, sasa sijui litaanza kujitegemea lini

Yaani ni janga hawa vijana wa dot com. Kuwakomesha unawapa majukumu hapo home hakuna cha bure tena wenzetu wazungu wanaanza kuwafanya watoto wao wajitegemee mapema mno at the age of 18. Na kama anakaa kwao basi lazima atatake care baadhi ya bill no free lunch.
 
kupanga nyumba ni moja ya kujifunza maisha kwa upande mwingine ,lazima utapata experience fulani tofauti na ulivyozoea kwenu! siku zote kujifunza ni kuongeza maarifa......kwa hiyo kwa mtoto wa kiume,kwa umri wa utu uzima eti unakaa kwa wazazi wako kisa unasubiri nyumba yako iishe ni kujilemaza tu! .........itafika kipindi nyumba haiishi,umri umekwenda na utahitaji kuoa kwa akili yako itabidi uolee nyumbani na mke wako muishi hapohapo servant kota,etc....hii ni style ya kawaida hasa kwa vijana wa masaki,obay...badilikeni!!!!nyie ndio mnatusumbua huku kwenye misele

Kweli kabisa!vijana wanaogopa challenges

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
wengine "wamehama" nyumbani ila vibomu kwa wazee haviishi, halafu kila weekend unawakuta home wanacheck Dstv na kupunguza ratiba ya chakula.
 
We jinsia yangu inakuhusu nini?sishangai kama wewe utakuwa unakaa kwenu,au bwana ako anakaa kwenu ndo unamtetea!

Mada hujaielewa unarukia tu!ndo mana mnapataga mimba za utotoni!

Nimeuliza ni kitu sahihi au sio sahihi,so what u were suppose to say is correct or not correct according to u BI*CH!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mbona umekuwa mkali hivyo, kweli nia yako ilikuwa kujua tu? Hebu rejea hii kauli yako mwenyewe halafu jiulize kama huna kitu moyoni: Kinachonikera hawa vijana ndo wa kwanza kujishaua mjini hapa kwenye starehe!

Yaani kumbe unakereka kabisa! Hivi kwa mfano, mimi nikiwa na tabia ya kutumia mshahara wangu wote siku ile ile niliyoupata, wewe una lipi la kukukera katika hilo ikiwa sili kwako, silali kwako na sikutegemei kwa lolote?

Billionea kakuotea vyema, una matatizo wewe na ndio maana umekuwa mkali. Inaonesha jamaa kakugegeda nawe ukatanua miguu kwa kujiachia ukiwa na matumaini ya kwenda kuishi kwake na alikupata kwenye starehe ndio maana unasema kuwa anajishaua (kwamba alikutega kwa starehe kiasi ukaamini ana nyumba) sasa ulipokuja kubaini hana hata kitanda ndio unatoka povu.

Pole sana mama, ndio mjini. Huwezi jua mipango yake, labda hataki vimeo kumganda...tehe tehe tehe!
 
Huku jitu zima limeoa na mtoto juu linalsihwa

Kuna jamaa moja limegonga 40 bado liko kwa baba na mama, sasa sijui litaanza kujitegemea lini
Hao wazazi wake wamemlea kwangu angeisoma number manake ningempa jukumu la kulipa ada ya mdogo wake bila kusahau budget ya home . Yaani hata babake angejifanya kutetea hiyo hela angeitoa tu. Huyo ndio basi tena maana wanasema a fool at 40 is .......................Wazazi tunakosea sana huwa tunafikiri tunawasaidia watoto kumbe tunawafanya wawe vilema maisha yao yote. Sasa mtu kama huyo ukifa bwana atagombania mali mpaka basi
 
mhh mbona kuna watu wanatokwa povu humu? Jamani kuweni wapole kuna sababu nyingi zinazomfanya mwanaume kukaa kwao, wengine wanajiona wadogo na mabinti kuhamia pindi wanapoamua kupanga na wengine ni ubishoo
 
What if utakaa na huo mshahara hadi uwe na 40 years?hautahama home?kwan wanaojitegemea wote wanalipwa mamilioni?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Kuna wengine hata huo mshahara wako hawaufikii na wamepanga. Sikatai mtu kukaa kwa wazazi kama ana malengo na atajiona kuwa yeye pale home ni mpita njia hajafika bado anakokwenda. Sasa sio umeanza kibarua una 23 na mpaka 40 bado upo kwa wazazi hapa bwana lazima ubongo wako utakua na hitilafu aisee
 
Kama sikosei ushatimiza 30 mkuu!dah nnachosikitika ni nguvu ya taifa kama wewe kuwa na mawazo mgando kama yako!usije ukadhan kila mtu anaeondoka home ni choka mbaya!

Kubwa zima jiiiiinga,eti huondoki home,nyie ndo mnawatafutia wazee balaa nyie za kuwagongea wake zenu au mademu zenu!

Anyway ni mawazo yako bwana wacha niyaheshimu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Inaelekea baba yako hajatulia na kwenu mna vyumba viwili na sebule.
 
Sasa mtoa mada mvona kila mwenye mawazo tofautina wewe unamtukana? Hebu staarabika basi tujadili.

Hii sio mada ni manung'uniko. Kuna kitu alikitegemea sasa kimekwamishwa na circumstances ndio anatoka povu. Anaongea as if watu wote wanaokaa kwao anajua sababu za kukaa kwao nyumbani.

Kuna watu wana majumba makubwa hasa, ila wanaathiriwa na upweke. Hivi ukiwa na akili timamu unaweza kumuacha mama yako ambaye amebaki peke yake kwenye mjumba mkuubwa wewe ukaenda kupanga au kisa na wewe umejenga ya kwako?!

Halafu sijui nani kamwambia kila anayekaa nyumbani analishwa. Kuna watu inawalazimu kubakia home kwa ajili ya kuwaangalia hao hao wazee pengine hawako stable au wamechoka sana kwa umri. Unapiga hesabu ya nani anawawekea LUKU ikiisha, nani anawatazama afya zao, nani anatazama matunzo ya hiyo estate na kadhalika.

Mimi ningeungana naye kama tungekuwa tunawalaani wale wanaowategemea wazazi wao ilhali wana uchumi na umri wa kujitegemea. Lakini kama kuishi kwa wazazi, huo ni upuuzi kujadili tena ni umbea hasa. Una hakika gani kama hao wazazi hawaishi kwa kumtegemea huyo mtoto wao. Au mzazi akiwa na nyumba ndio anakula nyumba?
 
Jamani hapa tuongee ukweli tu kuhusu hili suala,kwa mtu mzima hasa mwanaume hata kama huna kazi ila una age 30s bado unaendelea kukaa home kwa wazazi au hata kwa ndugu yoyote tena huko comfrtable wala hujishtukii hii sio inshu nzuri kabisa,mimi najua mwanaume aliyekamilika na anastaili kitwa mwanaume wa kweli hawezi kuogopa kwenda kupanga na akawa na maisha ya kujitegemea,hata kama una kazi nzuri na unapeleka kila kitu nyumbani na kusomesha wadogo zako bila kikwazo chochote lakini suala la kukaa kwa wazazi na mindevu yako kama miiba ya samaki siyo haileti picha nzuri,kwani ukiwa unatokea kwako kipi kitakuzuia kuwasadia wazazi wako na ndugu zako wengine?
 
Mbona umekuwa mkali hivyo, kweli nia yako ilikuwa kujua tu? Hebu rejea hii kauli yako mwenyewe halafu jiulize kama huna kitu moyoni: Kinachonikera hawa vijana ndo wa kwanza kujishaua mjini hapa kwenye starehe!

Yaani kumbe unakereka kabisa! Hivi kwa mfano, mimi nikiwa na tabia ya kutumia mshahara wangu wote siku ile ile niliyoupata, wewe una lipi la kukukera katika hilo ikiwa sili kwako, silali kwako na sikutegemei kwa lolote?

Billionea kakuotea vyema, una matatizo wewe na ndio maana umekuwa mkali. Inaonesha jamaa kakugegeda nawe ukatanua miguu kwa kujiachia ukiwa na matumaini ya kwenda kuishi kwake na alikupata kwenye starehe ndio maana unasema kuwa anajishaua (kwamba alikutega kwa starehe kiasi ukaamini ana nyumba) sasa ulipokuja kubaini hana hata kitanda ndio unatoka povu.

Pole sana mama, ndio mjini. Huwezi jua mipango yake, labda hataki vimeo kumganda...tehe tehe tehe!

Mkuu tuheshimiane!mimi sio MAMA, usianze kuassume tu jinsia za watu!

Nakereka coz vijana wa taifa wanakuwa mapopompo!wakiwa viongozi hapo mbele ndio wa kwanza kutegemea misaada coz hawawez kujitegemea!!

Ila suala la jinsia umenichefua sana!naomba nitake Radhi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom