Wale wale!kama hauna cha kuchangia kaa kimya!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
I really was not in the mood to self-congratulate, but you gave me the excuse - not that I needed one, but this one is on you.
Hujajibu swali, kati ya anayeuliza swali ambalo hujalipa jibu, na wewe unayesema "wale wale" bila kufafanua nani hana cha kuchangia?
I left home around 19, never to return again. Bongo hiyo nimeishi kwa kujua maana ya kuondoka nyumbani kama niko mtoni. Bila kulazimishwa.Miaka hiyo.
Nina nyumba - nyumba as in plural, not singular- napangisha Jamaicans. Nakaa kwenye a leafy suburb ambayo property tax yake tu kwa mwaka huko madongokuinama ushajenga nyumba. Bongo nasomesha daktari, among many other contributions to my immediate community.
Clearly you cannot say that I am the dependent type. My track record will show.
Haya mambo yangenifanya niwe mtu rahisi sana ku generalize wanaokaa kwa wazazi wao ni wazembe etc etc, bila kujua specifics. But I am not like that.
Sasa unaposema "wale wale" una maana gani? Unanijua kivipi mpaka kujiridhisha ni "wale wale"? Hao "wale wale" kina nani?
Zaidi ya yote, hujajibu swali.
Ukiondoa sababu za umbea tu ambazo nazipiga vita kila siku, kwa nini mtu mzima mmoja atake kujua kwa saaana habari za mtu mzima mwingine anaishije?
Kuna watu wanakaa na wazazi wao kwa sababu wazazi wanaogopa wanaweza kuanguka usiku wakafariki kwa magonjwa bila ya kuwa na msaada wa karibu.
Hawa wana uwezo wa kuondoka nyumbani, lakini wanataka kuwa karibu na wazazi kutoa msaada ukihitajika.
Kwa akili yako ya summary judgement utawahukumu hawa kama wazembe pia?