Kiwa
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,102
- 910
- Thread starter
- #21
unajua mabinti wengi hawapendi wawaone wanaume wanakaa kwao, wanapenda mwanamme apange ili awe anakuja kumsalimia mwishowe ahamie. mimi binafsi nimemaliza chuo mwaka 2009 niliajiliwa mwaka 2010 Feb. na kampuni kubwa tu. nimekaa home nimewasidia sana wazazi wangu pamoja na wadogo zangu. mpaka mwaka 2013 march nilipoamua kuoa na kuhama home. na kuanza maisha mapya na mke wangu. mabinti wengi , hasa wale nilikuwa nadate nao walikuwa wananisemea mbovu wakati ule nahishi na wazazi wangu.
As u said nakubaliana na wewe,kama ulikuwa na malengo yako safi!ila kama kuuza sura tu hapo hamna akili
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums