Mwanaume kukaa kwa wazazi!

Mwanaume kukaa kwa wazazi!

Ndiyo maana hii thread watu wanachungulia na kuondoka!
Watafiti kwenye social sciences nimewaambia changamkieni utafiti huu, tena hauitaji gharama nyingi
respondents wenyewe wapo to the next door! Wengi kweli, baadhi yao hata kama wapo Dar hawataki kufanya kazi
au ku-apply kazi mikoani.........."Wanahudumia wazazi" ama "huko mbali sana hakuna Umeme".

Siwalaumu hata kidogo ila nilikuwa nawaita "Watafiti", kuna kitu wanaweza kupata hapa pengine Kitaifa zaidi inaweza kuwa!
 
Wewe mkuu hoja hujaielewa nadhani!mada ni kuishi nyumba moja na wazazi wako!

Scenario yako ni kwamba unaishi moja ya nyumba za mzee ila kila mtu anaishi kwake hapo me sioni tatizo coz unajitegemea

Halafu usifikiri wanaokaa kimya hawasemi wazee wao wana nyumba ngap ni kwamba hawana ila ni kwamba tu hawapendi majigambo! Kuna wengine wakiongea humu utaona hata huyo mzee wako alicheza tu na nyumba zake nne hizo


Ushauri wangu:
Pigana na wewe upate nyumba zako sio kubweteka tu eti kisa mzee amekuachia,nyie ndio mwisho wa siku mnakujaga kuchinjana ndugu kugombania mali. Mzee akikupa ni sawa ila na wewe tafuta chako.

Yes mzee alinipa elimu bora ili nijifunze kujitegemea,ila haimaanishi hana uwezo.



Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums


Mkuu mlaumu Mzee wako kuchelewa kuja mjini
 
Unwarranted generalization is a sign of feeble mindedness.

A gossip is mostly an idler.
 
Back
Top Bottom