Borat69
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,522
- 1,761
Unamaanisha Busta Rhymes Chid Benzi wa Ilala?Hata Busta Rhymes bado anakaa kwa mamie
Unamaanisha Busta Rhymes Chid Benzi wa Ilala?Hata Busta Rhymes bado anakaa kwa mamie
Sasa mtoa mada mvona kila mwenye mawazo tofautina wewe unamtukana? Hebu staarabika basi tujadili.
acha kufatilia maisha ya watu fanya yako hapa mjini!kama baba yako hakujenga mjini?
back to topic! ata mm bado nakaa home kwa sababu zifuatazo
watu wengine wanaona wivu wazazi wao walichelewa kuja mjini
- nyumba ipo karibu na city centre kazini natembea tu
- nyumbani ni mtoto wa mwisho
- mzazi ninayeishi nae ni single parents
- siwezi kutumia gharama kubwa kwenda kuishi mbweni,pugu,bunju wakati gharama za mafuta ni sawa nakupanga mjini
- wazazi waliniandalia mazingira mazuri ya kuishi mjini
Hahahaahaahhahaaa!!!!! ama kweli mmewashambulia sana!!! nafikiri watabadilika, anyway ni kweli hata wanawake/wasichana wakijua unakaa home kwa wazazi na una kazi nzuri huwa wanawadharau so, mwanaume aliye kamili na amemaliza chuo anatakiwa ajitegemee yeye mwenyewe na asitegemee tena vya wazazi pale unaonekana mwanaume rijali na siyo mtoto wa mama. Au labda kuwe na sababu nyingine.Afu nimegundua humu JF wako wengi sana!shobo nyingiiiiiii afu wa kwanza kupigania kiporo na wadogo zake
Ndo mana wanatiaga mimba mabeki 3
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Kitu ambacho hakiko sawa mwanamke anakuwa controlled na ndugu wote ie anaolewa na familia nzima. Ukichelewa kuamka wanasema mwanamke gani haamki alfajiri na kila utakachomshauri jamaa lazima akaulize mama au ndugu wanashaurije juu ya hilo lol. Mwanaume ukishakua jitegemeee kaaa kwako labda kama unampango wa kujenga na kisha baadae uhamie kwako , usithubutu kuoa ukiwa kwenu..
Wengine servant quarter ni nyumba kabisa kubwa na ana kigeti chake mwenyewe cha kutokea sasa na huyu utasema anakaa kwa wazazi wakati mlinzi anafahamu kwamba huyu bwana anaweza kutoka na kurudi anytime. 🙂
swala la kukaa nyumbani linategemea na familia kama mtu yuko comfortable na familia yake anasaidia wazazi hamna zengwe kwanini aende kupoteza pesa nyingi hivyo kwa ajili ya kupanga wakati anaweza kufanyia vitu vingine ,,,,wengi mnaoona si kitu kizuri ni kufananisha maisha mliyopitia nyinyi na kuwafikiria watu kuwa wote wanapitia maisha hayo hayo,......wengi mekuja mjini mkafikia kwa ndugu sasa ukishapata kazi kwanini uendele kukaa hapo wakati sikku nyingine alikuwa anakunyima chakula kwa sababu tu sahani uliyolia chakula ulishindwa kuosha wengine mwezi wa kwanza tu kuanza kazi shangazi yako anakwambia usioge maji ya nyumbani hapo kwa kuwa hujachota wakati anajua kabisa unaamka alfajiri kuwahi kazini na kurudi saa moja.....kwenye nyumba kama hiyo lazima uhame hata kama kodi ya nyumba hujapata......au kitanda hujanunua manake ukalale chini lakini nyumbani usipokuwepo mama hajisikii vizuri mpo wewe na mdogo wako ambaye unamsomesha college chakula wewe ndo una supply kwa kuwa mama kastaafu anakula pension baba alishafariki kitambo sasa kwa nini uhame hapo wakati nyumbani yako bado iko msingi subiri nimalize nyumba yangu ndo nitahama bwana tena nitahamia huku bado wiki moja tareh ya ndoa yangu ...........thats it
heri yenu nyie watoto wa baba wacha mimi mtoto wa mama nifaidi matunda ya mama yangu kwani unafikiri kwanini alipigana kipindi ananguvu zake ....alikuwa anataka iwe ivi muda kama huu wanawe tusipate shida ya kusumbuana na baba wenye nyumba
Wale wale!kama hauna cha kuchangia kaa kimya!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
We ni wa kike au wa kiume?
Manake tatizo hili la kufuatilia maisha ya watu wengine (umbea) ni kubwa zaidi ya hicho unachotaka kusema. Au wewe ni wa kike na jamaa anayekugegeda kakomaa anajua akichukua tu room utahamia sasa ndio unamwagika povu?
Ku-tembea na beki 3 ni ma-tokeo, kwani una-weza uka-hamia k-wako n then uka-ajiri beki 3 na ukam-vuruga kama kawaida. Halafu kingine, wewe m-wenyewe ume-sema kwamba zamani mtu aki-balehe ana-pewa shamba na m-zee wake, sasa hivi hali iko hivyo?Mkuu kwa issue ya single parent kama hiyo sawa ila believe me wengi wao sio single parent ila ni uoga tu wa maisha!u need to stand as a man uwe na kauli,unamkosesha mzee pozi,unajaza nyumba!sasa kila mtu akiamua hivyo hiyo nyumba itakuwaje?si ndo itakuwa maisha kama ya wahindi?
Utamaduni wetu ilikuwa mwanaume ukibalehe tu mzee anakupa shamba lako ujitegemee!sasa huo wa kujazana home ni utamaduni wa magharibi!!mwisho wa siku ndio mtu anaanza kutembea na beki 3
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
niwe kiazi, bwabwa maisha yanakwenda home siondoki nioe, niolewe niko home! wengine wanakula mbwa, panya mpaka chavichavi na life inakwenda! fikiria ya kwako aproach ziko nyingi katika maisha ukifikiria sana ya watu hukawii kupakatwa ila pole najua mshua choka hata mjini hajafika hata kwa matibabu pole!!
Habari zenu wakuu!
Huwa kuna jambo linanichanganya kweli!unakuta kijana wa kiume amemaliza chuo kikuu,anafanya kazi kwa miaka kama mitatu hivi ila cha kushangaza bado anakaa kwa wazazi!kibaya zaidi wengine unakuta wanakaa kwa ndugu very comfortable!
Kinachonikera hawa vijana ndo wa kwanza kujishaua mjini hapa kwenye starehe!
Anyway labda mimi najudge vibaya ila wenzangu kijana kama huyu mnamchukulia kama mwanaume au mvulana?!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ku-tembea na beki 3 ni ma-tokeo, kwani una-weza uka-hamia k-wako n then uka-ajiri beki 3 na ukam-vuruga kama kawaida. Halafu kingine, wewe m-wenyewe ume-sema kwamba zamani mtu aki-balehe ana-pewa shamba na m-zee wake, sasa hivi hali iko hivyo?
Ewaaaaaah hapo umekuja sasa!zaman walikuwa wanapewa shamba coz kupelekwa shule ilikuwa ni issue,mkuu siku hizi shule uliyosomeshwa ndio shamba lenyewe!
Hakuna urithi mwingine siku hizi kama elimu,mzazi kukusomesha hadi chuo kikuu ni zaidi ya kukupa shamba!
Hilo la beki 3 nakubaliana na wewe mkuu
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums