snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,708
- 23,637
tatizo liko wapi?
Au ndo ndoa za siku hizi? Chako chako changu changu?
Uliza weye mamii!
sijui lakini mambo ya kuoana na kubaki kusema hili gari langu ,hiki kiwanja changu,ile nyumba yangu au lile gari sijui kanipa baba !hii theory kwangu haipo!
inategemea ndoa yao ipo kiaje!lakini sidhani kama ni sahihi kuendeleza vielezi vimilikishi hata baada ya ndoa!
inaruhusiwa kweny kusema maneo haya tu
MKE WANGU au MUME WANGU!