Mwanaume Kujenga Nyumba Kiwanja cha Mwanamke!!!!! Ni busara kweli?

lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,664
2,000
Kuna mtu hapa kwenye viti virefu anajipongeza kwa kujenga nyumba mwaka 2012 na anakribia kuhamia kwenye kiwanja cha mkewe Mbweni Hukooo! Anadai sio nyumba ila Jumbaaa!

Hivi kweli nyie Men of Today ni busara hiyo kujenga kwenye kiwanja cha mkeo cha zawadi ya harusi? Ukute hati ya kiwanja iko kwa baba mkwe! Mnakoelekea i can oly pray for you!
 
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,180
1,250
Ni mjadala mkali sana lakini hata usipojenga kwenye kiwanja siku mkiachana mtagawana hiyo nyumba mliyojenga kwa pamoja.
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,501
1,500
Kuna mtu hapa kwenye viti virefu anajipongeza kwa kujenga nyumba mwaka 2012 na anakribia kuhamia kwenye kiwanja cha mkewe Mbweni Hukooo! Anadai sio nyumba ila Jumbaaa!

Hivi kweli nyie Men of Today ni busara hiyo kujenga kwenye kiwanja cha mkeo cha zawadi ya harusi? Ukute hati ya kiwanja iko kwa baba mkwe! Mnakoelekea i can oly pray for you!
I miss you, napita
 
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,279
0
Mbona kawaida sana hyo ila mwenye hati ndo mwenye property na ndo mjanja
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,664
2,000
Ni mjadala mkali sana lakini hata usipojenga kwenye kiwanja siku mkiachana mtagawana hiyo nyumba mliyojenga kwa pamoja.
Sasa bora hiyo mnayojenga pamoja, mtagawana ila hii ya kiwanja cha kwake naona hutopata kitu kabisaaaaa, hata tofali moja la fidia! Sijui lakini!
 
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
2,697
1,195
si busara bana labda unamsaidia tu mkeo kujenga , zawadi ya mke haiwezi kua ya familia labda anunue aseme cha familia hivyo kibadilishwe hata hatimiliki
 
Likasu

Likasu

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
773
500
kama mpo kwenye ndoa haina shida kwani itahesabika miongoni mwa mali mlizochuma. Ila kama ndo small house count imekula kwako
 
MWAMUNU

MWAMUNU

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
662
195
Kweli ndoa changa zinasumbua !!
 
Z

zodiac

Senior Member
Oct 13, 2012
109
0
Mh kwa hawa wanawake wa Kilewo? Aandike maumivu, nina kesi mbili zenye material facts kama hii, ninahangaika nazo mahakamani ila jamaa bora akae kimya maana siku mke akimuamulia ndio atajuta.

Kwanza haileti heshima ukweni unakuwa kama umeolewa.
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
25,439
2,000
Mkiambiwa Limbwata lipo mnabisha.
Huyo ameshakula sana nyama zilizowekwa kwenye nanii wiki nzima!!
 
Chauro

Chauro

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
2,971
1,195
kweli nimeamini binadamu tuna ubinafsi sana pesa/mali mbele utu nyuma.
 
bologna

bologna

JF-Expert Member
Sep 10, 2012
1,492
2,000
ndio udhungu huo jamani. Mwashangani nyie.?
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
31,211
2,000
tatizo liko wapi?

Au ndo ndoa za siku hizi? Chako chako changu changu?
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,664
2,000
Mh kwa hawa wanawake wa Kilewo? Aandike maumivu, nina kesi mbili zenye material facts kama hii, ninahangaika nazo mahakamani ila jamaa bora akae kimya maana siku mke akimuamulia ndio atajuta.

Kwanza haileti heshima ukweni unakuwa kama umeolewa.
Sema wewe kiazi, mimi Muhogo naambiwa na mzizi kati kati!
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,664
2,000
ndio udhungu huo jamani. Mwashangani nyie.?
Inaboa bana, jitu limepata uwezo wa kujenga, badala lijikwamue moja kwa zote linafanya blander kama hiyo, siku akifurumushwa anaanza kutubana kwenye vibanda vyetu vya kupanga!
 
karembo

karembo

Senior Member
Nov 2, 2012
129
0
Sioni ubaya mwenzenu coz ur no longer two but one. Unless otherwise u don mean business ....
 
B

Bunyu

Senior Member
Apr 3, 2012
119
0
Hivi katika ndoa kuna 'cha mke' na 'cha mume'? Jamani! Tunakoelekea itakuwa 'mtoto wa kwanza wako na wa pili wangu' kwann mkiwa kwenye ndoa mfikirie 'itakuwaje mkiachana'? Yanini kuoana sasa? Naitamani sana ndoa ya wazazi wangu!
 
HoneyBee

HoneyBee

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
757
500
Sioni tatizo hapo. If anything it's an ideal situation. Kiwanja changu, nyumba ajenge yeye hata ugomvi ukitokea huwezi kusema "toka nyumbani kwangu!!". Jokes aside, ukiingia kwenye ndoa ukifikiria kuachana basi inawezekana mtaachana tu. na ikitokea mkaachana unauza nyumba na eneo mnagawana$$ simpo.

Top Bottom