Mwanaume Kujenga Nyumba Kiwanja cha Mwanamke!!!!! Ni busara kweli?

Siwezi kufanya jambo la kijinga, la ulimbukeni, kipumbavu na la kipuuzi kama hilo. Labda nirogwe. Siwezi jenga kwenye kiwanja cha mke wangu.
 
Kuna mtu hapa kwenye viti virefu anajipongeza kwa kujenga nyumba mwaka 2012 na anakribia kuhamia kwenye kiwanja cha mkewe Mbweni Hukooo! Anadai sio nyumba ila Jumbaaa!

Hivi kweli nyie Men of Today ni busara hiyo kujenga kwenye kiwanja cha mkeo cha zawadi ya harusi? Ukute hati ya kiwanja iko kwa baba mkwe! Mnakoelekea i can oly pray for you!
seems your not a wife material...your selfish....mkiwa kwenye ndoa usifikirie kuachana,ukianza hivo baadae utafikiria mkiachana itakuwaje na utaishia kutofanya mambo ya maendeleo kwa kuogopa kugawana mkiachana..au utafanya investment kwa siri na siku mwenzio akigundua ndoa inaanza kuyumba...nyie wadada wa siku hizi mko materialistic sana...changu changu...chako changu..
 
Haya mambo ya Changu, Chake badala ya Chetu kwenye ndoa ni hatari sana.., nadhani cha muhimu kwenye ndoa muwe na chetu kwa manufaa ya watoto wenu..

Kumbuka hata ukisema vyote vyangu ikitokea Divorce unaweza kujikuta mnagawana vile vile, sababu kuchangia sio monetary peke yake..., After all haya ni mambo ya kupita hakuna atakayekwenda nao kaburini
 
Hili suala nilijua lilizikwa mwaka jana, kumbe bado linafurukuta? Au mnataka jamaa abomoe ndo mfurahie? Wacha roho mbaya nyie! Kwanini mtu uingilie maisha ya watu? Kama ndoa ilikushinda sio kwamba itamshinda na mwenzako.
 
Kwa nini tunafikiria kuoana na kuachana? Mimi binafsi ningekuwa mtunga sheria ningeibadilisha.Mali za ndoa ziwe za watoto pindi wazazi wanapoamua kuachana.
 
Inaboa bana, jitu limepata uwezo wa kujenga, badala lijikwamue moja kwa zote linafanya blander kama hiyo, siku akifurumushwa anaanza kutubana kwenye vibanda vyetu vya kupanga!
Kwa kweli kwa hoja hii wewe binti unaonyesha a high degree of maturity! Gudluck
 
Back
Top Bottom