Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,119
- 27,935
Hesabu ngumu sanaUna uhakika na hesabu yako? Nimesema mtu alikuwa na elfu 5, akatoa elfu 3, maana yake ni sawa na kama asilimia 60 ya mapato yake. Hesabu rahisi ni kuwa akitoa 2,500 ni sawa na asilimia 50 ya mapato. Akitoa elfu 3 ni sawa na asilimia 60, inamaana wewe ni mjinga kiasi hicho hujui hesabu rahisi kama hii?