Mwanaume kuhonga sana ni dalili kutokujiweza kitandani

Hii kauli ya kugongewa huwa siielewi ..hv kwann mwanamke kuliwa na mtu wa pembeni ichukuliwe n km challenge kwa mwanaume ...Wakati anaumia zaidi n huyo mwanamke coz k ndo inazidi kusoma mileage ...na kujiongezea mikosi ...
Sina uwakika kama mwanamke unaumia akigongwa , zaidi naona wanaume ndio wanapata shida wakigundua mwanamke wake kaliwa.
 
Basi neno kuhonga linatumika ndivyo sivyo.
Kumhudumia/saidia mpenzi wako sio kuhonga na wala si mara zote unakua unataka kungonoka tu.
Kwa wenza wenye mlengo wa kungonoka tu kama wewe kumsaidia mpenzi wako unaterm as kuhonga.

Em toeni izo tongotongo za kimaskini na kindezi za mwanaume kupenda vya bure bure tu.
Kwako wewe mjuzi wa mambo kuhonga maana yake ni nini?
 
Siku hizi wanaume mnatafuta haki sawa kwa nguvu,mnajisahaulisha kama mmeumbiwa kula kwa jasho!!tafuta hela wewe Acha kuwaza mserereko!!!!!
Hakuna mahali nimeomba haki sawa, kwani ni uongo kuwa hayo makundi matatu hayapo kwenye jamii? Tuanzie hapo kwanza
 
Kwako wewe mjuzi wa mambo kuhonga maana yake ni nini?
Kuhonga ni kutoa kitu kwa kutegemea kupata kitu fulani kwa manufaa yako ambayo inaweza isiwe haki yako kukipata, na si rahisi au huwezi kukipata kwa wakati bila kutoa chochote kitu
 
Tsh 3000 =60%
Tsh100,000 =10%
Hizo percent ni kwa alie toa emu tufikilie kwa aliepokea sasa hizo pesa yupi kapata hela ndefu.
Ni lazima Mwanamke atampenda aliyempa 10% ya Hera yake regardless umeipataje???
 
Uwe na nguvu kitandani usiwe na pesa. Usipokuwa na pesa wanawake wote watabakia kuwa Dada zako

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Sio kweli..labda kama haujui kutongoza. Ujasiri wa kutongoza huwa Ina define uanaume wako. Kutongoza ni art, mapenzi pia ni art. Kuna wengine hawajui kutongoza ( Domo zege) wanaishia kuhonga. Kuna wengine wanajua kutongoza, Wana maneno matamu,wanajua kumsifia mwanamke na kumchekesha chekesha mpaka anafurahi. Halaf jamaa akimpata huyo mwanamke anamuandaa, anazama chumvini, anamuandaa anampiga miti vizuri,anamkojoza, mapenzi ni sanaa halisi, ndo maana zamani wazee wetu walikuwa wanaenda jando, wanafundishwa namna ya kumhandle mwanamke na kuutawala mwili wake. Hivyo mwanaume anayejua mapenzi, mwanamke atampenda huyo mwanaume vibaya sana kuliko yule anaehonga Sana na hajui mapenzi. Mapenzi sio biashara. Hivyo kila mwanaume ajijue yeye yupo kundi gani
 
Hakuna mwanaume yeyote ambae anapenda asiwe vizuri kitandani, upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo kama yalivyo matatizo mengine kwa binadamu.

Ni vizuri tujikite kutafuta suruhisho kuliko kuwananga waasilika.
Tatizo niwabishi wanaringia pesa zao anajua hakuna wakumkataa kumbe yeye ni kasha tu bali pesa zake tu.
 
Kuhonga ni kutoa kitu kwa kutegemea kupata kitu fulani kwa manufaa yako ambayo inaweza isiwe haki yako kukipata, na si rahisi au huwezi kukipata kwa wakati bila kutoa chochote kitu
Ni kweli kuwa huwezi pata huko mtaani uchi mpaka uhonge?
 
Kuhonga ni nini em tuanzie hapo kwanza!!
Mwanaume unaweza kua na mpenzi na usihudumie chochote kweli!!? Mleta mada unashadadia kabisa eti mimi natafuta pesa ila kuhonga simoo!!!

Aisee dunia inageuzwa juu chini yani wanaume ndio inabidi wajiuze ndo wahongwe na wanawake. Kijana toa izo fikra potofu kama huna pesa ya kumpa mpenzi wako kaa pembeni usaidiwe, na mbusus utapewa kwa ratiba mpaka zamu zetu zipite na ww ufatafa.
Shangaa hata wewe hapo ubahiri mwishowe wana angukia kwa mashangingi haa haa haa
 
Unaumiaje na papuchi sio yako.?

Kidadek sinunui utelezi mimi aisee. Yaani utamu nimpe na hela ya jasho langu atokomee nayo.??

Jasho langu ni kwaajili ya kesho ya wanangu na familia yangu.....
Tulia mpaka upate familia kitulize kabisa
 
Back
Top Bottom