Mwanaume kuhonga sana ni dalili kutokujiweza kitandani

Pamoja na yote hayo ndugu Kwa wasichana hawa wa 21st century jitahidi utafute pesa.Hata usipokuwa tajiri angalau uwe na chochote kile my friend pesa ni sabuni ya roho

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Nani amekuambia hatafuti pesa? Tatizo mnakimbilia suluhisho rahisi sana. Mi ndo maana nikatoa makundi matatu toka mwanzoni. Ninachomaanisha mwanaume anaejua sanaa ya mapenzi anaweza kuhonga ( kutunza) kwa unafuu zaidi kuliko mwanaume ambae hajui sanaa ya mapenzi, ataishia kuliwa hela zake tu. Kujua sanaa ya mapenzi ni muhimu kwa kila mwanaume, haijalishi una hela au hauna
 
Salaam wanajukwaa la Great Thinkers!

Nimekuwa nikifatilia kwa muda sasa maisha ya mahusiano ya wanawake wengi toka nikiwa mtaani, chuoni na hata makazini. Katika vitu nimegundua nikianzia na mitaani hasa huku uswahilini, wanawake wanashauriwa wawe na " mafiga matatu" ambao watawasaidia katika maisha yao, ambae ni mume, bwana wa kumkuna vizuri huko nje na bwana wa kumpa pesa. Huyu bwana wa pesa hapendeki, yeye kinachoangaliwa ni pesa yake tu. Lazima sifa yake iwe ni muhongaji mzuri. Haijalishi ni tajiri au masikini,kuhonga ni kipaji. (Hapa mimi siongelei kumpa mpenzi wako fedha ndogo ndogo za kujikimu, Naongelea kugharamika parefu ili upate mapenzi).

Vyuoni nako nikakuta taratibu tofauti za wanawake wa chuo wanavyoishi, nao Wana mafiga yao matatu, kuna boy friend anaetambulika, ambae ana sifa ya uhandsome na utanashati, na kuna yule mwanaume " joni kisomo" ambae yeye atatafutwa kwaajili ya "kufundisha" inapotokea masomo yanapokuwa magumu, na kuna "sugar daddy" ambae yeye kazi yake ni kutoa pesa za matumizi na za matanuzi..

Makazini nako kwa wanawake nikakuta taratibu tofauti tena, unakuta Kuna "boy friend", kuna jamaa wa mtaani ambae anajua kumnyoosha vizuri mpaka hazungushi kwake, na pia Kuna mtu wa kutoa pesa za kodi, salon, mavazi nk, huyu anaweza kuwa ni Boss wa hapo kampuni au sugar daddy lolote huko mtaani.

Sasa katika watu wote ninawahurumia katika makundi yote hayo ni wale wahongaji ambao ni kundi la tatu( wanaotoa pesa na vitu vya thamani ili wapewe penzi). Na mbaya zaidi ndo kundi linalogharamia zaidi, lakin mwisho wa siku wao ndo kundi linalodharaulika na kutokupendwa kutoka moyoni na wanawake. Yan hata hayo mapenzi yenyewe wanapewa kishingo upande upande bila ushirikiano wowote. Unakuta mwanamke anasema yaani simpendi yule baba, ni hela zake tu.

Kuhonga nako ni kipaji kama kipaji kingine, na kuhonga sio lazima mtu awe tajiri..unakuta mtu hana pesa lakin ni muhongaji mzuri, anaishi kwa kujinyima ili ahonge kumridhisha mwanamke. Kaka yangu alikuwaga ananiambia mwanaume masikini ndo anaongoza kwa kuhonga zaidi kuliko mwanaume tajiri, akasema kwamfano muendesha mkokoteni anaweza akachacharika mchana kutwa akapata sh elfu 5. Halaf kufika jioni akaenda akamhonga mwanamke sh. elfu 3 kati ya ile elfu 5 aliyopata, ambayo ni sawa na 60% ya alichokipata kwa siku hiyo. Na Tajiri kwamfano akapiga mishe yake kwa siku akapata milioni moja, jioni akamuhonga mpenzi wake laki moja, ambayo ni sawa na 10% ya alichokipata siku hiyo, akabaki na laki 9. Hivyo ukija kuangalia nani amehonga zaidi unakuta ni masikini ndo amehonga zaidi aliyehonga Asilimia 60 ya kipato chake.

Sasa kwa wanaume wengi kwanini huwa wahongaji wakubwa ni kwasababu ya kukosa skills za uhakika za kupiga miti. Mwanaume anaejua shuguli vizuri siku zote aidha yeye ndo ahongwe na mwanamke au awe anakula free. Mwanamke hayuko tayari kumpoteza mwanaume anaemkojolesha vizuri mpaka anaridhika. Ataomba hela kwa "sugar daddy" ili akale maisha na jamaa anaejua kumkuna,Tena kwa kulipia gharama zote za chakula, vinywaji na chumba ili apewe huduma maalumu.

Hivyo wanaume wenzangu tuwe makini, tujifunze " kupafom" ili tusiangukie kwenye kundi la wahongaji. Kila mwanaume akijitafakari kimoyomoyo atajua yeye yupo kundi gani.. Kuhonga ni uzezeta

Sio kweli, kuhonga ni “saana”, sio kila
Mwanaume anaiweza
 
Hao kama wapo ni 2% tu kwa sasa.....sana sana unagongewa na mwenye PESA...we unakula shombo tu mkuu
Mwambie hata wewe, hapo utasikia anajiweza sana kwenye mambo yetu lakini bahiri limao kipande tu kinatosha kilo ya nyama hivyo inabaki kumdangia tu.
 
Back
Top Bottom