Mwanaume kuhonga sana ni dalili kutokujiweza kitandani

Kuhonga ni nini em tuanzie hapo kwanza!!
Mwanaume unaweza kua na mpenzi na usihudumie chochote kweli!!? Mleta mada unashadadia kabisa eti mimi natafuta pesa ila kuhonga simoo!!!

Aisee dunia inageuzwa juu chini yani wanaume ndio inabidi wajiuze ndo wahongwe na wanawake. Kijana toa izo fikra potofu kama huna pesa ya kumpa mpenzi wako kaa pembeni usaidiwe, na mbusus utapewa kwa ratiba mpaka zamu zetu zipite na ww ufatafa.
Umeniwahi mkuu, kuna mengi hayajui huyu jamaa.
 
Nani aliye kuambia sifanyi mazoezi?

Nani aliye kwambia ukifanya mazoezi au ukiwa mzuri kitandani hugongewi ?

Ninavisa vya jamaa zangu kibao waliogongewa kisa hawana hela na baadhi ni watu wa mazoezi, ila mifukoni walikuwa empty.

Halafu hasikudanganye mtu kugongewa kunauma, hasa kugongewa na mtu mwenye hela ndio kunauma zaidi, sababu huambatana na dharau na ndio maana baadhi ya jamaa zangu waliogongewa, walifight na sasa wapo vizuri.

Ukianza kufikiria sana kumrizisha mwanamke kichwa kitauma kwani kila mwanamke ana pumzi yake, mwisho wa siku utampata mwanamke kila ukipiga unaona halidhiki kwani wengine wapo kama magari ya mkaa ndipo unapo hamia kwenye viagra, kasongo mpako ili mradi kumridhisha mwanamke ambaye kuna uwezekano akakubwaga vilevile, akaenda kugongwa na asiejua hata ni maana ya kufanya mazoezi ila ana hela yake na huyo mwanamke akaridhika nae.
Unaumiaje na papuchi sio yako.?

Kidadek sinunui utelezi mimi aisee. Yaani utamu nimpe na hela ya jasho langu atokomee nayo.??

Jasho langu ni kwaajili ya kesho ya wanangu na familia yangu.....
 
Salaam wanajukwaa la Great Thinkers!

Nimekuwa nikifatilia kwa muda sasa maisha ya mahusiano ya wanawake wengi toka nikiwa mtaani, chuoni na hata makazini. Katika vitu nimegundua nikianzia na mitaani hasa huku uswahilini, wanawake wanashauriwa wawe na " mafiga matatu" ambao watawasaidia katika maisha yao, ambae ni mume, bwana wa kumkuna vizuri huko nje na bwana wa kumpa pesa. Huyu bwana wa pesa hapendeki, yeye kinachoangaliwa ni pesa yake tu. Lazima sifa yake iwe ni muhongaji mzuri. Haijalishi ni tajiri au masikini,kuhonga ni kipaji. (Hapa mimi siongelei kumpa mpenzi wako fedha ndogo ndogo za kujikimu, Naongelea kugharamika parefu ili upate mapenzi).

Vyuoni nako nikakuta taratibu tofauti za wanawake wa chuo wanavyoishi, nao Wana mafiga yao matatu, kuna boy friend anaetambulika, ambae ana sifa ya uhandsome na utanashati, na kuna yule mwanaume " joni kisomo" ambae yeye atatafutwa kwaajili ya "kufundisha" inapotokea masomo yanapokuwa magumu, na kuna "sugar daddy" ambae yeye kazi yake ni kutoa pesa za matumizi na za matanuzi..

Makazini nako kwa wanawake nikakuta taratibu tofauti tena, unakuta Kuna "boy friend", kuna jamaa wa mtaani ambae anajua kumnyoosha vizuri mpaka hazungushi kwake, na pia Kuna mtu wa kutoa pesa za kodi, salon, mavazi nk, huyu anaweza kuwa ni Boss wa hapo kampuni au sugar daddy lolote huko mtaani.

Sasa katika watu wote ninawahurumia katika makundi yote hayo ni wale wahongaji ambao ni kundi la tatu( wanaotoa pesa na vitu vya thamani ili wapewe penzi). Na mbaya zaidi ndo kundi linalogharamia zaidi, lakin mwisho wa siku wao ndo kundi linalodharaulika na kutokupendwa kutoka moyoni na wanawake. Yan hata hayo mapenzi yenyewe wanapewa kishingo upande upande bila ushirikiano wowote. Unakuta mwanamke anasema yaani simpendi yule baba, ni hela zake tu.

Kuhonga nako ni kipaji kama kipaji kingine, na kuhonga sio lazima mtu awe tajiri..unakuta mtu hana pesa lakin ni muhongaji mzuri, anaishi kwa kujinyima ili ahonge kumridhisha mwanamke. Kaka yangu alikuwaga ananiamba mwanaume masikini ndo anaongoza kwa kuhonga zaidi kuliko tajiri, akasema kwamfano muendesha mkokoteni anaweza akachacharika mchana kutwa akapata sh elfu 5. Halaf kufika jioni akaenda akamhonga mwanamke sh. elfu 3 kati ya ile elfu 5 aliyopata, ambayo ni sawa na 60% ya alichokipata kwa siku hiyo. Na Tajiri kwamfano akapiga mishe yake kwa siku akapata milioni moja, jioni akamuhonga mpenzi wake laki moja, ambayo ni sawa na 10% ya alichokipata siku hiyo, akabaki na laki 9. Hivyo ukija kuangalia nani amehonga zaidi unakuta ni masikini ndo amehonga zaidi.

Sasa kwa wanaume wengi kwanini huwa wahongaji wakubwa ni kwasababu ya kukosa skills za uhakika za kupiga miti. Mwanaume anaejua shuguli vizuri siku zote aidha yeye ndo ahongwe na mwanamke au awe anakula free. Mwanamke hayuko tayari kumpoteza mwanaume anaemkojolesha vizuri mpaka anaridhika. Ataomba hela kwa "sugar daddy" ili akale maisha na jamaa anaejua kumkuna,Tena kwa kulipia gharama zote za chakula, vinywaji na chumba ili apewe huduma maalumu.

Hivyo wanaume wenzangu tuwe makini, tujifunze " kupafom" ili tusiangukie kwenye kundi la wahongaji. Kila mwanaume akijitafakari kimoyomoyo atajua yeye yupo kundi gani.. Kuhonga ni uzezeta
Uwe na nguvu kitandani usiwe na pesa. Usipokuwa na pesa wanawake wote watabakia kuwa Dada zako

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Tsh 3000 =60%
Tsh100,000 =10%
Hizo percent ni kwa alie toa emu tufikilie kwa aliepokea sasa hizo pesa yupi kapata hela ndefu.
Una uhakika na hesabu yako? Nimesema mtu alikuwa na elfu 5, akatoa elfu 3, maana yake ni sawa na kama asilimia 60 ya mapato yake. Hesabu rahisi ni kuwa akitoa 2,500 ni sawa na asilimia 50 ya mapato. Akitoa elfu 3 ni sawa na asilimia 60, inamaana wewe ni mjinga kiasi hicho hujui hesabu rahisi kama hii?
 
Bora utoto wangu wa kuijari kesho ya wanangu kuliko kuwekeza kwenye papuchi
Bado mtoto, mke siku zote lazima apitie uchumba na uchumba ni gharama na kwa wanawake lazima watakupima kama una uwezo wa kulea na KUMTIMIZIA MAHITAJI YA MSINGI yeye na watoto ktk kipindi hiko cha uchumba.
 
Kuhonga ni nini em tuanzie hapo kwanza!!
Mwanaume unaweza kua na mpenzi na usihudumie chochote kweli!!? Mleta mada unashadadia kabisa eti mimi natafuta pesa ila kuhonga simoo!!!

Aisee dunia inageuzwa juu chini yani wanaume ndio inabidi wajiuze ndo wahongwe na wanawake. Kijana toa izo fikra potofu kama huna pesa ya kumpa mpenzi wako kaa pembeni usaidiwe, na mbusus utapewa kwa ratiba mpaka zamu zetu zipite na ww ufatafa.
Kuhonga ni kugharamia kwa hali ya juu ili upewe mapenzi. Wakati Kuna wengine wanaletewa ghetto bure
 
Kuhonga ni nini em tuanzie hapo kwanza!!
Mwanaume unaweza kua na mpenzi na usihudumie chochote kweli!!? Mleta mada unashadadia kabisa eti mimi natafuta pesa ila kuhonga simoo!!!

Aisee dunia inageuzwa juu chini yani wanaume ndio inabidi wajiuze ndo wahongwe na wanawake. Kijana toa izo fikra potofu kama huna pesa ya kumpa mpenzi wako kaa pembeni usaidiwe, na mbusus utapewa kwa ratiba mpaka zamu zetu zipite na ww ufatafa.
Kila kitu kifanyike kwa kiasi na tahadhari... Kuhudumia au kutokuhudumia sio guarantee ya kumfanya mwanamke atulie au asitulie
 
Mwanaume tafuta pesa, tunza afya kwa kula vizuri, kufanya mazoezi mepesi na kupata muda wa kupumzika, ukimshika mwanamke wako mpe kitu hatari, ukijifanya kuweka nguvu sehem moja utagongewa tu, fanya haya Utakuja nishukuru
 
Kuhonga ni kugharamia kwa hali ya juu ili upewe mapenzi. Wakati Kuna wengine wanaletewa ghetto bure
Basi neno kuhonga linatumika ndivyo sivyo.
Kumhudumia/saidia mpenzi wako sio kuhonga na wala si mara zote unakua unataka kungonoka tu.
Kwa wenza wenye mlengo wa kungonoka tu kama wewe kumsaidia mpenzi wako unaterm as kuhonga.

Em toeni izo tongotongo za kimaskini na kindezi za mwanaume kupenda vya bure bure tu.
 
Kila kitu kifanyike kwa kiasi na tahadhari... Kuhudumia au kutokuhudumia sio guarantee ya kumfanya mwanamke atulie au asitulie
Kabisa kabisa mkuu mapenzi si pesa lakini ikikosekana mzee panachimbika.
Kikubwa ni kua na kiasi labda mleta mada angesema kutoa pesa kuzidi kipato chako.
 
Siku hizi wanaume mnatafuta haki sawa kwa nguvu,mnajisahaulisha kama mmeumbiwa kula kwa jasho!!tafuta hela wewe Acha kuwaza mserereko!!!!!
 
Back
Top Bottom