Mwanaume kufuga kucha na minywele ni ukosefu wa kazi

Nakumbuka nilivokuwa mdogo maza alikuwa ana mind Sana akiona nimefuga kucha ya kidole kidogo.kwa Kweli haipendezi kwa mwanaume kufuga kucha kwenye nywele sijui
WAZEE WA PICHA.HIVI NDIVYO VIDOLE VINATAKIWA VIWE NADHIFU MUDA WOTEView attachment 881086
Mkuu umeitendea haki post yako ubarikiwe sana post bila picha zinachosha naona mtoa mada nae amejifunza kitu
 
Nywele hapana mkuu, kwa mbichwa kama wangu nikinyoa low cut mtanikimbia style yangu ni #punkNation #Afro toka secondary, chuo mbaka leo , kuhusu kucha zangu nakata kila weekend, wana wanaofuga hizo mambo huwa siwaelewi kabisa.
 
Kwenye kucha nakubaliana na wewe tena unakuta mtu kafuga kucha mikono yote, mwanaume!! kwa sie wenye kinyaa hata mwanamke aliyefuga au kubandika mikucha sitaki nimuone akichuja nazi na kukata nyanya hua siwezi kula kabisa.
 
View attachment 883258

Sawa sawa mkuu nimejifunza jambo hapa
Sijaelewa umeniquote wapi hadi comment yangu umeiweka kwenye huu uzi.
nakumbuka hii comment niliitoa kwenye thread ambayo ilihusu NACTE kutoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa IFM kujiunga na kozi za diploma. sasa hapa kwenye huu uzi comment yangu imefikaje hapa?!!!!

Nilimuuliza mtoa mada hivi: Umeangalia wavuti yao.
 
Mwenyewe mkuu nimeshangaa kukutana na hii comment yako humu kwa sababu tulimalizana mule...mbali na hapo hawa wakuu wa Jf washanifutia thread yangu mkuu sijui tatzo nini.
 
Nywele hapana mkuu, kwa mbichwa kama wangu nikinyoa low cut mtanikimbia style yangu ni #punkNation #Afro toka secondary, chuo mbaka leo , kuhusu kucha zangu nakata kila weekend, wana wanaofuga hizo mambo huwa siwaelewi kabisa.
Sawa mkuu
 
Toka nikufukuze nyumbani mwanangu umekuwa mtu wa majungu kwakuwa Mimi baba ako nafuga nywele umeona uje unianzishie Uzi huku JF mwanangu....mwanangu unamiaka 29 sasa nliamua kukufukuza baada ya kuona tunashindana kunyoa ndevu hapa nyumbani na baba mwenye nyumba alikuwa hajulikan nmefanya kwa nia njema tuuu usinichukie mwanangu
 
Hahahahaah sawa,samahani ninekosa tena nimekosa sana.

Naomba radhi sikujua kwamba tungekutana humu.Nisamehe kwa kweli
 
iam bob marley reincarnated jah rastafari
 
Attachments

  • damianmarley.jpg
    damianmarley.jpg
    105.8 KB · Views: 40
  • marleybrothers2.jpg
    marleybrothers2.jpg
    186.6 KB · Views: 42
  • marley-family-gq-style-0616-lede.jpg
    marley-family-gq-style-0616-lede.jpg
    212.2 KB · Views: 42
  • 596f8a713f9b8.image.jpg
    596f8a713f9b8.image.jpg
    51.7 KB · Views: 39
  • maxresdefault.jpg
    maxresdefault.jpg
    76 KB · Views: 40
Anayefuga nywele mkuu.kwa sababu mimi binafsi nikinyoa ikifika asubuh napitisha maji,Brush SAFARI.lakn upande wa pili unamkuta Bw mkubwa ana midawa,mafuta ya kila aina na gharama nyingi,vitana,mirangi rangi mingi mpk kero

Harufu inayobaki chumbani utadhan pana shughul ya upakaji rangi
Wewe jamaa labda hufahamu jinsi nywele zinavyotunzwa na si uchafu kama unavyosema, ni lifestyle ya mtu. Kama wengine maamuzi yao wao ni kuwa na nywele fupi. Binafsi nakaa na nywele mpaka mwaka 1 na miezi 3 au 4 mpaka 5 ndiyo naenda kuzipunguza saluni, ngoja nikupe sheria zake brother.

Kila ninapooga lazima nitumie hair shampoo. Na shampoo kwangu ikiwa ya gharama zaidi labda ya 15,000 tu ambapo ukitia kwenye nywele povu jingi nywele unazisafisha kwa urahisi. Shampoo nyengine jinsi zilivyo kama zina pico, uweusi wa nywele unaongezeka ukiitumia na nywele zinakuwa laini. Na usafishaji wa nywele unafanyika bafuni.

Jipende nunua mafuta mazuri ya nywele. Binafsi natumia mafuta aina ya Kuza, mafuta ya Nazi, Mafuta ya Mzaituni ni maalum kwa nywele, Soft n free gel activator na Movit of course na ndevu zipo najiachia mchebe Faza Christmas kiaina.

Jipende vilevile nenda saluni. Kwangu kila baada ya wiki tatu naenda kuchonga nywele na ndevu pia, ni kitu kizuri.

Hapo harufu itokee wapi sasa? Mimi tangu shule ya msingi mpaka sasa naendesha mambo yangu mwenyewe ni mtu wa nywele nyingi, na kipindi hicho shule ya msingi Baba yangu alikuwa aninipa mpaka vitu vyake vya kusafishia nywele.

Kufuga nywele ni gharama brother labda uliyokutana nao wewe ni wa aina nyengine.
 
Wewe jamaa labda hufahamu jinsi nywele zinavyotunzwa. Binafsi nakaa na nywele mpaka mwaka 1 na miezi 3 au 4 mpaka 5 ndiyo naenda kuzipunguza saluni, ngoja nikupe sheria zake brother.

Kila ninapooga lazima nitumie hair shampoo. Na shampoo kwangu ikiwa ya gharama zaidi labda ya 15,000 tu ambapo ukitia kwenye nywele povu jingi nywele unazisafisha kwa urahisi. Shampoo nyengine jinsi zilivyo kama zina pico, uweusi wa nywele unaongezeka ukiitumia na nywele zinakuwa laini. Na usafishaji wa nywele unafanyika bafuni.

Jipende nunua mafuta mazuri ya nywele. Binafsi natumia mafuta aina ya Kuza, mafuta ya Nazi, Mafuta ya Mzaituni ni maalum kwa nywele, Soft n free gel activator na Movit of course na ndevu zipo najiachia mchebe Faza Christmas kiaina.

Jipende vilevile nenda saluni. Kwangu kila baada ya wiki tatu naenda kuchonga nywele na ndevu pia, ni kitu kizuri.

Hapo harufu itokee wapi sasa? Mimi tangu shule ya msingi mpaka sasa naendesha mambo yangu mwenyewe ni mtu wa nywele nyingi, na kipindi hicho shule ya msingi Baba yangu alikuwa aninipa mpaka vitu vyake vya kusafishia nywele.

Kufuga nywele ni gharama brother labda uliyokutana nao wewe ni wa aina nyengine.
Ok.basi sawa mkuu,nimekuelewa.ila kwa kiasi utapata hasara kwa sababu ya gharama mkuu

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom