Philipo Kidwanga
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 2,042
- 599
kama ambavyo hamna mwanaume kamili na ndivyo ambavyo hamna mwanamke kamili na hapo ndipo ulipo ubinaadamu wenyewe.
mwambie ukubwa wa bunduki sio utamu wa risasi zake.mahaba ni zaidi ya kuwa na zigo flaizini.Kuna mtu nilishamjibu 'ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi!!'
ameona unashusha mapoint anahisi una utamu wa kipekee sasa anaweweseka,kwa jinsi ulivyotiririka kila mwanaume atahisi kuna la ziada kwako,kama ni hivyo hongera sana ila isiwe unataka wenzako wawe kamili halafu wewe huna chochote.Hahahaha kiungwana bila shoku ummm hapana.
na huyo penye avatar ni mwanaume yupi?2. Mwanaume kamili ni yule mwenye nyumba ndogo
3. Mwanaume kamili ni yule anayemzalisha mwanamke watoto zaidi ya watano
Hahahaaaa umenifurahisha sana hapo mkuu ila haka ka cm hakana kitufe cha like ningekupa bana maana hawa dada zetu hawa wanapenda kuongelea bamia kana kwamba ndo mwanaume eti.mbona si jaona ukisema mwanaume libamia, mwanaume mwendo kasi......au sio uanaume huo...