Mwanaume kamili, unakuaje mmbea aisee?

Mwanaume kamili, unakuaje mmbea aisee?

Hayo mambo ya umbea kwa upande wa wanaume anaweza sana JIWE wetu make ata akisikiliza mitongozo kwenye simu ya watu wake anakuja kutuambia jukwaani.
 
Hivi watu wanashindwaje kukaa na siri zao wenyewe?
 
Bora hata ungeweka hap hakuna akujuaye na ushauri tungekupa
 
Aahh acha basi ukiwa na mpenzi raha sana umbea unanoga hatari ila huyu ety mwanaume mwenzie
Mwanaume mwenzie kazingua ila mwanamke mwenzangu angebaki tu na ubuyu hakuwa na sababu ya kwenda kuupeleka kwa wengine.
Mwenyewe ubuyu wangu huwa namun'gunya na baby..😂😂
 
Usijali wote aliowaambia story yako,aliwaambia wasimwambie mtu,kwahiyo bado ni siri😂😂
 
Shida ulimwambia asimwambie mtu, basiii akaona kumbe hii ni siri
 
Ukiona mtu mmbea sana awe mwanamke au mwanaume ujue hana kitu cha kufanya yeye nikuchukua maneno huku na kusambaza kila kona
 
Mwanaume mwenzie kazingua ila mwanamke mwenzangu angebaki tu na ubuyu hakuwa na sababu ya kwenda kuupeleka kwa wengine.
Mwenyewe ubuyu wangu huwa namun'gunya na baby..😂😂
Aahh kabsa 😅😅😅
 
Hakuna watu wambea kama wapenzi wanaoishi pamoja,

From my experience, lol
 
Ulitakiwa umsisitizie kwamba hizo habaru ulizo mpa ni siri.

Ila sometimes kuwaficha wake zetu habari huwa ni ishu, labda habari za pesa ndiyo huwa tunawaficha na michongo ya maana. Mdau alicho kosea ni kutompa wife angalizo la kuwa hiyo ni siri.

Halo mke wa mdau ndiyo amekosea kuyatawanya.
 
Huhuh wee mwenyew umeshindwa kutunza, ndo yeye aweze khaaaaah
 
Hakuna kumwamini binadam Alie hai hata alie mahututi kabisa Ni marufuku kumwamini labda aliekufa
 
Kilichokufanya wewe ushindwe kukaa nazo ukamwambia yeye ndicho hicho kilichomfanya yeye amwambie mkewe. Ndo kilekile kilochomfanya mkewe amwambie shoga 'ake..kila rafiki yako nae ana rafiki yake ambae wewe sio rafiki yako,
 
mkuu hata ukisimulia mbuzi ipo siku zitavuja tuu...
 
Mi nashukuru marafikia wanguu wengii walikuwa sioo wambea labda kupeanda ishuu za manzii basii yanii ni wa nyamwezii vibaya.

Ila sasa nilivyoo badili mazingiraa ebwana sijuii ni ukosefu wa elimu au umasikinii yani mtu anataka kujua kila kitu chakoo.
 
Back
Top Bottom