hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,297
- 80,156
HahahahHizo habari unaonaje ukatushirikisha na sisi mzee maana hiyo siyo siri tena chief
HahahahHizo habari unaonaje ukatushirikisha na sisi mzee maana hiyo siyo siri tena chief
Daahh!!!Pole sana
HahahahahsUsikute mke wa jamaa nae kawapigia mashoga zake kuwachana kuwa hawajatunza siri na hao marafiki wa huyo mke wa jamaa na wenyewe wamewapigia simu mashoga zao kuwachana kwa kutoa siri..
Kiufupi wanaiga utakachofanya..[emoji28]
Hahaha jf bwanaPunguzaa lawama mkuu wew limekishinda kuliweka yeye ndio aweze [emoji38]
Tena kaja kutoa povu kabisa lolSasa wewe mwenyewe umeshindwa kutunza siri yako halafu mwana unataka akutunzie ajabu hii.
Ila hakuna watu wanaosema watu kama wanandoa waliona amani kwenye ndoa yao...ukimpa siri yako mmoja wao kuna kitu kinamuwasha tu amwambie mwenzie wakiwa wanapiga story....ila ni baadhi sio woote
AiseeHii fani waachieni wadada tena wa uswahilini.
Nimempa mwana habari zangu za kasumba, usiku akaenda kumhadithia mke wake, mke wake akazitawanya kwa mashoga zake. Sasa ziko wazi.
Leo nimemchana mwana, mwana sio mwana wala nini. Bora Kama una Mambo yako ufe nayo tu mwenyewe. Nailaumu nafsi yangu kumuamini mwana.