Mwanaume kama sufuria mwanamke kama chungu.

Rockcity native

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
2,176
Reaction score
1,475
Mwanaume hupata haraka moto lakin akitoka jikon hupoa haraka bt mwanamke huchelewa kupata moto lakin akipata moto sawasawa hata atoke jikon itachukua mda kupoa ule moto. Source: dr. Isak ndodi (radio free afrka)
 
Hapo inategemea kama ni moto wa gesi au mkaa
 
What is the point? Je amewafanyia utafiti wahusika wote na huyo jamaa ni daktari wa kweli au ni wale wale wa kienyeji akina Majimarefu? Naona yeye ni kama kijiko kama siyo sahani.
Mwanaume hupata haraka moto lakin akitoka jikon hupoa haraka bt mwanamke huchelewa kupata moto lakin akipata moto sawasawa hata atoke jikon itachukua mda kupoa ule moto. Source: dr. Isak ndodi (radio free afrka)
 
Sijui nimeelewa sahihi huu uzi???
Ila nahisi maana ya mleta uzi ilikua na maudhui ya ufanyaji mapenzi.
Mwanaume huamsha hisia zake mapema sana vivyo hivyo hamu humuisha mapema pia.
Mwanamke ni huhitaji muda mrefu kusisimuka na baada ya hapo pia huchukua muda mrefu kumaliza ashki aliyonayo..
 
Nafikiri uko sahihi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom