Mwanaume kama huyu unaishije nae?

Mwanaume kama huyu unaishije nae?

Basi utajua mwenyewe
Katikati ya vita ngumu ya no reforms no election anaomba maji anapewa anasema anataka soda, wacha akaitafute mwenyewe hatuna muda wa kupoteza 😂.
 
We avatar yako uko uchi.
Bado unataka bwana mshauriane kujenga maisha.
Hapo inakua chapa ilale
 
Sasa kama huyo mwanaume hakutafuti, maana yake hamuwasiliani wala kuonana, sasa unajuaje kama ni muongeaji na mjuaji? Au wewe ndio mwenye shida?
 
Sijui nikoje, ila mwanaume akiwa muongeaji au mfukunyuku namuona km mwenzangu tyuuh.

Em muache huyo jamaa, akasogoe na wengine huko. Afu ukute na yeye ana bwana ake Lol.
😂😂😂😂😂
 
Unamaana kwamba unamlea huyo kijana! Kwamba akiwa na shida ndo anakutafuta unampa chapa anaenda kula na manzi yake hadi itakapoisha ndo utaona simu yake😀😀😀😀😀 pole mwaya ila ameona una uhitaji mnoo
😂😂😂😂😂
 
Katikati ya vita ngumu ya no reforms no election anaomba maji anapewa anasema anataka soda, wacha akaitafute mwenyewe hatuna muda wa kupoteza 😂.
Anaona red flag bado anamng'angania, baadae ashindwe kumuacha aanze upya kulialia. Mapenzi hayashauriki sometimes
 
Back
Top Bottom