Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,600
- 22,339
Sahihi, Yaani ukiona thread haieleweki, copy na paste kwa ChatGPT, inakuletea idea.Duuh hii ni Chatgpt 😁😁😁😁
Sahihi, Yaani ukiona thread haieleweki, copy na paste kwa ChatGPT, inakuletea idea.Duuh hii ni Chatgpt 😁😁😁😁
ulitaka uwe mjuaji weweMfano mwanaume ni muongeaji sana pia mjuaji kila kitu ana kijua yeye…
Pia hakutafuti mpaka akiwa na shida zake yaani ana tumia udhaifu wako nisaidieni kujua
Mambo ya Ngwose muachie mwenyewe mwanangu.Mfano mwanaume ni muongeaji sana pia mjuaji kila kitu ana kijua yeye…
Pia hakutafuti mpaka akiwa na shida zake yaani ana tumia udhaifu wako nisaidieni kujua
Zingatia C & P:Kashindwa ata kuedit
😎 ; Wala sio Copy, Edit and Paste---
c&p from AI
---
Watu wa marekani wenyewe sahivi hawatoi.....Hivi kwanza mtu anaruhusuje kutafutwa na mwanaume wakati akiwa na shida? Anatoa misaada amekuwa watu wa marekani😀😀
endelea na mambo yakoHapana mazoea tu
Mqmbo yqko hujamboo nasikia umeoa tena hongeraendelea na mambo yako
True sio na kudhihaki siku hizi mapenzi ya sasa yanahitaji maombi tu na kwa sasa unatakiwa uombeSawa
Nenda kanisani kwenu unaposali chukua muda wakusali pekee yako kwa utulivu na utubu kama umekosea lolote au kama muislam fanya hivyo hivyooNisaidie nauli