Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,434
Nakubaliana na wewe mkuu kwa kiwango kikubwa sana!
ila pia kujicontroll kunatakiwa sio kila jamaa akisimama basi na wewe unataka upewe tunda.,tusije kuwa kama yule jamaa aliyekuwa anafunga mpk duka kurudi kwa mkewe nyumbani mchana kula tunda.