Mwanaume hufikiria kufanya mapenzi kila masaa 48

^^
Ujue awali sikutaka kujiingiza ktk mjadala huu na post zote za jf zinazohusu Michepuko sikupenda kuchangia,,lakini kwa kuwa umebana hapa ngoja tu niseme !!
HUO NI USANII sawa na maigizo mengine, matangazo haya huja na kupita lakini yamesaidia kushamiri kwa usaliti kuliko ilivyokuwa, sababu ni kuwa tabia ya kutoka nje ya mahusiano ni kama ibaada kwa walio wengi, fahari mivuto mawasiliano n.k yanarahisisha kukua kwa usaliti. Hivyo bado naamini ktk msimamo wangu, uaminifu ni tabia ya mtu.
^^

mkuu, Himidini, hivi ingekuwa vipi kama kama tukifanya kinyume..

yaani mchepuko awe mkeo na mkeo awe mchepuko...

unadhani michepuko itaendelea au itakuwa ndio dalili ya usalama katika ndoa na mahusiano kiujumla?
 
Last edited by a moderator:

Kuna tabia hazina tiba,,michepuko itaendelea

mkuu nilikuuliza swali, naomba nilibadilishe kidogo angalau..

kati ya jamii zenye elimu vs zile zisizo na elimu, ipi iko katika hatari ya michepuko ya lazima?
 
Ni zile zenye elimu
Excel
^^
 
Last edited by a moderator:
right...

sasa tunaona root problem inakolalia haswaa..

sasa kikwazo chetu katika conclusion mkuu, je unaweza kumwelimisha mtu aliyeelimika?

^^
Kumwelimisha aliyeelimika inawezekana, labda nina mashaka na kumwelimisha MSOMI hawa ni wajuaji usiombe, ha ha ha hawali chakula mpaka wajue kina vitamini ngapi, zina kazi gani, na ktk michepuko ndo usiseme
^^
 
good answer..

part b..

barabara uliyokuwa unaitumia kwa gari hiyo at 45kmper hour ilikuwa inamomonyoka kwa spidi ya kufuata direction ya gari.. what could you do?

this case is sensitive..
Mkuu, swali lako Lina jibu moja tu. Iwe barabara au gari lenyewe, haijalishi tatizo liko kwenye barabara ama gari, ili mradi hujalewa maana yake unauwezo wa kufanya maamuzi.

Shuka kwenye gari, angalia uwezekano wa kupita, ukiona haiwezekani just leave the car, or find another MAIN ROAD, then drive off.
 
can you imagine what i was trying to talk about?

unajua kwamba hii ni habari picha?
 
^^
Kumwelimisha aliyeelimika inawezekana, labda nina mashaka na kumwelimisha MSOMI hawa ni wajuaji usiombe, ha ha ha hawali chakula mpaka wajue kina vitamini ngapi, zina kazi gani, na ktk michepuko ndo usiseme
^^
mkuu angalau umeona hapo.. mimi huwa nasema kwamba msomi ndo huyo aliyeelimika bana! sidhani kama kuna difference kubwa..

actually, huu ni mzigo sasa.. wa kulaumiwa ni nani?
 
Linapokuja suala la lawama, sijui nani alaumiwe!
^^
 
Qanawake wengi hupenda huu mchezo tena uchezwe mara nyingi sema aibu ndo hua kikwazo tu kwa wenza wao
 
Back
Top Bottom